Ufadhili wa Masomo

Ufadhili wa Masomo

BISHANGA AM

Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
15
Reaction score
7
Habari wakuu.Naomba msaada,Ushauri wa namna ya kupata Ufadhili wa masomo..Nimepata admission ya kujiunga na Chuo kikuu cha Dar es Salaam fani ya Master of Business Administration inayoanza mwezi huu Novembeter 2018..Hali ya uchumi kifedha imekuwa ngumu kumudu masomo hayo.Naomba msaada wa Ushauri kama naweza kupata ufadhili wa Masomo hayo kutoka taasisi,Mashirika na kwingineko..
 
Ufadhili wa masomo upo tena ulipo Ni mahali sahihi kwa kuweza kupewa sponsorship ya masomo ikiambatana na meals& accommodation, tuition fees&boom ambapo Ni udsm{University of dar es salaam},na udhamini wenyewe unatolewa na MODEWJI FOUNDATION but Ni kwa wanafunzi wanaosoma UDSM tuu,ko Cha kufanya unaweza kuitembelea website yao ambapo utakutana na maelezo on how to apply,but wako strict Sana kwenye case ya vigezo maana wanayo maswali complicated sana hasahasa ya ESSAY FORM,ko fanya hivyo haraka maana kunakuwaga na competition sana na hiyo itakusaidia kupata kwa urahisi.
N.B:Kuna watu nawajua ambao wameomba MODEWJI FOUNDATION nawamepata kana kwamba Ni sawa tu na watu waliopewa loan from HESLB,but pia Kuna ambao walikosa ko SALA& MAOMBI pia Ni muhimu ili uweze kufanikiwa,nakutakia Kila la heri katika kuomba hiyo sponsorship na MUNGU akutegemeze ili ufanikishe ndoto zako za kusoma chuo kikuu.
 
Back
Top Bottom