Kuomba ufadhili diploma inawezekana

Habari ndugu humu,samahani eti Kuna njia yeyote mtu anaweza kutumia ili kupata ufadhili kutoka serikalini kwa masomo ya ngazi ya diploma akiwa ametoka form 6 katika vyuo vya ufundi Kama DIT
 
HAKUNA HAIWEZEKANI KABISA.

Jaribu ufadhili kutoka kwenye NGO's
 
Back
Top Bottom