Lala wwAsante mkuu
😀Lala ww
Fursa hiyo mkuu ukipata unawapa elaNyie ndiyo mnawasomesha au nyie watu wa kati?
Natamani kujua mnafaidikaje na wanafunzi mnaowasomesha. Return yao kwenu ni nini?
Ila sio vibaya pia.Fursa hiyo mkuu ukipata unawapa ela
Ya china hiyo mkuuHyo namba ya cm vp cjaielewa vzr
Hyo ya 07111???Ya china hiyo mkuu
I need thisTunatoa scholarships(ufadhili wa kimasomo) kwa wale wanaopenda kwenda kusoma nje ya nchi, kama china japan na korea kusini.
Scholarships hivi ni kwa ngazi ya Phd, Masters, Bachelors na kozi za kusoma lugha(language programs).
Kwa mawasiliano zaidi, fika ofisini kwetu mwananyamala kwa makoma Dar es salaam.
pia unaweza kutupigia simu kupitia number 07111 684900, +86 137 61325614 au tembelea tovuti yetu www.elimusolutions.co.tz.
OkayOkay, atakua amekosea
nilijua +86
true, sio mbayaIla sio vibaya pia.