7. Kauli nzuri kwa wateja. Ni lini wanawake wameanza kuelewana na kua na kauli nzuri baina yao ?! Ebo !!7. Kauli nzuri kwa mteja, kuanzia wewe boss mpk wafanyakazi.
Kuna saloon siingii sbb mpaka rangi wao ana kimdomo. Yan wanajiona masupastaaa kitaa nzima...
Kabisa dear kunawakati watu wanafeli hapo na ndio mwanzo wa Biashara kufa na kuanza kulalamika biashara sio nzuri kumbe mdomo ndo unatuponza hii ni kweli kabissa7. Kauli nzuri kwa mteja, kuanzia wewe boss mpk wafanyakazi.
Kuna saloon siingii sbb mpaka rangi wao ana kimdomo. Yan wanajiona masupastaaa kitaa nzima...
Eish7. Kauli nzuri kwa wateja. Ni lini wanawake wameanza kuelewana na kua na kauli nzuri baina yao ?! Ebo...
Shida ni kwambaWanawake hawajawahi na kamwe hawataelewana na kupatana kwa dhati. Yani ukiwaona kwa nje wanavyoitana "shosti, dear, mamie," bla bla mwenzake akitoka tu anamsonyaaaa na kumsema kwa ubaya atamsema kuhusu sura, amevaaje, mabwana zao nk. ke wana unafiki pipa zima baina yao.
ok, labda niboreshe - hakunaga maelewano baina ya wanawake. Hili liko wazi kama uchi wa mbuzi kwa mfano mwanamke akienda bank yuko radhi ahudumiwe na teller wa kiume hata kama foleni yake ni ndefu zaidi ya teller wa kike.Eish
Hapa hatuzungumzii urafiki.
Kauli nzuri kwa mteja, unataka ama hutaki. Kwa ustawi wa biashara yako ni lazima.
Okok, labda niboreshe - hakunaga maelewano baina ya wanawake. Hili liko wazi kama uchi wa mbuzi kwa mfano mwanamke akienda bank yuko radhi ahudumiwe na teller wa kiume hata kama foleni yake ni ndefu zaidi ya teller wa kike...
Ukiwa na wateja saluni inalipa sana ila uwe makini kuifuatilia kwa ukaribu!Tumeona urembo unavoendelea kuwa hadhi na ni hitaji la watu wengi hasa wanawake,nitaelezea namna ya kuendesha biashara hii kisasa hata kma sio msusi vitu gani unatakiwa uvizingatie.
Kwanza biashara hii ukitaka uiendshe kisasa lazima utoe hudumña 4 muhimu ambazo ni
1. Pedicure and manicure(kucha na kuoshamiguu)
2. Makeup (urembo wa uso)
3. Hairdressing(kusuka na kutengeneza nywele)
4. Spa(massage na facial)
Unatakiwa uwe makini kwenye kuchagua eneo chagua eneo ambayo Lina mkusanyiko kias wa watu namaanisha lilichangamka.
Unatakiwa utafute vijana professional kwaajili ya kazi hii wanaoweza kufanya kazi Kwa weledi na ufanis
Hakikisha unaweza vifaa vya kisasa na na vyenye ubora Ili kuvutia wateja
UTOAJI HUDUMA
1. Hakikisha unatumia bidhaa Bora kabisa za nywele makeup rangi za kucha na bidhaa zote za spa kuepuka madhara Kwa watumiaji usifuate vitu cheap
2. Jitahid kutoa ushauri wa masuala ya urembo Kwa watejawako wenye changamoto mbalimbali Kwa ustaarabu na unyenyekevu
3. Zingatia usafi na kujali wenye matatixo ya kuafya hapa nazungumzia kutoshare baadhi ya vifaa has vyenye ncha Kali pia unaweza kujikuta unamtoboa mteja ambae ana kisukar ikawa shida lazima ujue kuwahumia kulingana na halizao
4. Hakikisha ofisi sio sehemu ya kutoa huduma za kifamilia wew na nduguzako mkahudumiwe Bure lipa unapohitaji huduma utajenga nidhamu hata Kwa wafanyakaz wako kutotumia vitu vya ofis bila mpangilio
5. Pokea malalamiko rekebisha kwawakati zingatia saluni sio danguro Wala sehemu ya umbea nidhamu iwepo na simamia Hilo
6. Ulipaji wa wafanyakazi utegemee na ufanyaji wao wa Kaz mnapatana kias atachoingiza na kiasi atacholipwa hii inahasishwa ufanyaji kazi Kwa ubora Ili ahudumie watejawengi zaidi apate pesa nzuri usiwe mbahili lipa wafanyakazi Kwa wakati...
Antonnia
Lovelovie
We just path
Depal
lennie
Bantu Lady haya mje mjazie nyamanyama
Ungenitajia vifaa mhim hasa hapa kwenye hairdressing1. Pedicure and manicure(kucha na kuoshamiguu)
2. Makeup (urembo wa uso)
3. Hairdressing(kusuka na kutengeneza nywele)
4. Spa(massage na facial)
Sawa naomba ufanye hivyoKuna Uzi nilifungua nitakutag