‘’Tunapenda kuwahakikishia kwamba Bandari ya Dar es salaam itaendelea kutoa huduma za hali ya juu kama ambavyo zilikuwa zikitolewa na kampuni ya TICTS lakini pia kuzipeleka juu zaidi ya zilivyokuwa zikitolewa’’. Alisema Mbossa mkurugenzi mkuu wa TPA
"Lengo la TPA ni kuongeza ufanisi katika bandari ya Dar es salaam na hilo linafanyika kwa kuchukua hatua mbalimbali ikiwa ni Pamoja na kuboresha huduma zetu lakini pia na miundombinu ambayo tunaitumia kutoa huduma katika kitengo hicho cha makasha’’. Alisisitiza Mbossa
Taasisi za serikali ya Tanzania haziwezi kufanya baishara ikafanikiwa, ni suala la muda tu hiyo bandari atapewa mwekezaji wanayemtaka tofauti na TICTS!