kaka uliyoyaongea ni ya kweli madrid jana kipindi cha pili walileta utoto mwingi, ila kwa soka walilocheza jana kipindi cha kwanza madrid hawana mpinzani kwelekea ndoo ya uefaMdau mi ni shabiki mzuri sana wa Madrid na sina timu nyingine yoyote nnayoipenda ulaya isipokuwa nawachukia Man U. Lakini kwa mpira tuliocheza jana nnajiridhisha pasipo shaka kuwa mwisho wa safari yetu umewadia. Kwa timu zinazoingia nusu yaani Barca, Bayern na Borussia sioni kibonde chakukiletea yale masihara kisha tusalimike. Tunaweza chezea kipigo kikali kama kile ilichopewa timu ya Gang Chomba.
mshinde kombe wakati bayern munich wapo wapi????
Kibonde hapo Borussia Dortmund ktk wote wa4 wote wanaweza kubeba isipokuwa Borussia Dortmund,na wasiombe wapangwe na FC Barcelona wanafungwa home and awayMdau mi ni shabiki mzuri sana wa Madrid na sina timu nyingine yoyote nnayoipenda ulaya isipokuwa nawachukia Man U. Lakini kwa mpira tuliocheza jana nnajiridhisha pasipo shaka kuwa mwisho wa safari yetu umewadia. Kwa timu zinazoingia nusu yaani Barca, Bayern na Borussia sioni kibonde chakukiletea yale masihara kisha tusalimike. Tunaweza chezea kipigo kikali kama kile ilichopewa timu ya Gang Chomba.
madrid,,.da!kombe kama linanukia ivi, mi sioni kikwazo ila sijui ni barca vile,?au mnaionaje majembe yangu ya sports,, imekaa vipi apo!?