Game imekaaje huko naona France kashakaa 2_0..Mi nawachek ufaransa na Croatia
Siku ya kufa nyani mkuu vijana wamekosa nafasi nyingi sana hawa Ufaransa Mbape kakosa chance nyigi mno huku kona mpaka sasa Ufaransa wamepata16Hawa FRANCE na CROATIA wanaenda mikwaju ya penaltiea
Impossible ya kutembea muda mwingi wa mchezo huku akiwa na offside 4 🤣🤣Nilikua Busy nikimuangalia The Greatest CR7 akifanya the impossibles at 40 yrs
CR 7 an icon and footprint of this generation, still he runs riots.Impossible ya kutembea muda mwingi wa mchezo huku akiwa na offside 4 🤣🤣
Kati ya timu 8 zilizoshiriki robo fainali ya UNL 6 zipo ndani ya top ten ya FIFA RANKINGS, ni Italy na Demark pekee ndio wako nje ya top ten, tafsiri yake hapo unaangalia mataifa yaliyo bora kabisa kimpira na ndio maana hata quality ya mpira uliochezwa ni wa hali ya juu sana. Huwezi kabisa kuulinganisha na AFCONhivi wale wapuuzi waliokuwa wanamwaga povu ya kufananisha Euro na AFCON wapo wapi? hii NAtion league tu ni bora kuliko kombe la bara lolote achilia mbali hiyo Euro yenyewe