Uefa financial fair play imeanza makeke yake!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uefa financial fair play imeanza makeke yake!!!!!!!!!

Discussion in 'Sports' started by kashengo, Sep 11, 2012.

 1. kashengo

  kashengo JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 2,649
  Likes Received: 464
  Trophy Points: 180
  [​IMG]


  Michel platini akizungumza kwenye mkutano wa vilabu vya ulaya alhamisi iliyopita huko switzeland

  [h=1]Football: Uefa hands out first financial fair play penalties[/h]


  Uefa has imposed its first financial fair play sanctions by temporarily withholding prize money from 23 clubs for failing to comply with the rules.
  Europa League winners Atletico Madrid, Malaga, Sporting and Fenerbahce are among those under scrutiny.
  Clubs face further investigation because of overdue payments to other clubs, employees or tax authorities.
  European football's governing body introduced the rules to force clubs to operate within their means.
  The 23 clubs have been given a deadline of 30 September to prove that their finances are in order.
  Teams playing in all Uefa club competitions have been monitored since the start of the 2011/12 season.
  The are tasked with breaking even in 2012 and 2013 and being assessed during the 2013/14 season.

  Clubs under investigation:


  FK Borac Banja Luka (Bosnia)
  FK Sarajevo (Bosnia)
  FK Zeljeznicar (Bosnia)
  PFC CSKA Sofia (Bulgaria)
  HNK Hajduk Split (Croatia)
  NK Osijek (Croatia)
  Club Atletico de Madrid (Spain)
  Malaga CF (Spain)
  Maccabi Netanya FC (Israel)
  FK Shkendija 79 (Macedonia)
  Floriana FC (Malta)
  FK Buducnost Podgorica (Montenegro)
  FK Rudar Pjevlja (Montenegro)
  Ruch Chorzow (Poland)
  Sporting Clube de Portugal (Portugal)
  FC Dinamo Bucuresti (Romania)
  FC Rapid Bucuresti (Romania)
  FC Vaslui (Romania)
  FC Rubin Kazan (Russia)
  FK Partizan (Serbia)
  FK Vojvodina (Serbia)
  Eskisehirspor (Turkey)
  Fenerbahce SK (Turkey)
   
 2. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Are manchester city or chelsea operating within their means? mmh what about PSG are they? waache kuwaonea hizo small clubs...they should go after big fish...in england top clubs only arsenal and manchester utd operate within their means...do u really think platin would ban PSG from participating in the champions league...and mind you he's french as well would he really ban PSG from the CL? or real madrid and barcelona? mnakumbuka last year kuna wakati barcelona players walichelewa kulipwa mishahara yao...so does barcelona operate within their means....PLATIN anacheza tuu he cant touch the top clubs because of POWER....
   
 3. kashengo

  kashengo JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 2,649
  Likes Received: 464
  Trophy Points: 180
  Sikiliza Mtotowamjini Hii sheria inaanza next season kufanya kazi 100% ila kuna jambo wengi hawalielewi UEFA hawazuii timu kupata pesa kupitia wadhamini ili kupunguza madeni yake pamoja na deficits (spending>incomes) unawasema Chelsea wao si wajinga kutokana na sheria hii wame renew mkataba na Samsung kuwadhamini T-shirts kwa miaka mitatu ijayo na watavuna pound 15 millioni kwa kila msimu,bado ukumbuke wameingia mkataba na kampuni ya Gazprom mabayo inahusika na uuzaji na usambazaji wa gesi,ongeza pound 47 milioni walizopewa kama zawadi ya kushinda UCL....na timu ya Manchester City wao mwaka jana walijua itawakuta hii deficit then wakasaini mkataba na kampuni ya ndege ya ETIHAD airways kwa pound 400 millioni ili kupunguza Hasara waliokuwa wameitengeneza msimu uliopita ya pound 197 millioni katika kununua wachezajina mishahara

  Man utd wanasemekana kuwa na deni linalofikia pound 445millioni (kama sijakosea figures) ila wao walikwenda zao marekani wakauza Hisa kule Newyork stock exchange kwa mara ya kwanza (initial public offering) na wamefanikiwa kupata kiasi kikubwa cha fedha kupunguza deni na bao hapo hapo wametengeneza faida kubwa kuliko club yeyote duniani kwa mwaka jana na ukizingatia wamenunua wachezaji kwa pesa isiyozidi pound 40 millioni (RVP,KAGAWA<BUTTNER,POWELL, na Fernadez)...na ukumbuke mkataba wao na Chevroet unawaingiazia pesa sawa?

  hizi timu 23 zinadeni linalozidi pound 45 millioni kwa sasa na baadhi hawajalipa mishahara,kodi n.k...kuanzia msimu huu timu inaruhusiwa kutozidisha deficit ya 45 millions poud ilaitaenda inapungua mpaka kufikia hasara isiyozidi pound millioni 8 mwaka 2018 ndo mambo yako hivyo...UEFA hawajamuonea yeyote waliooona mambo yatakuwa magumu kwao kama AC milan wameuza nyota wao karibu wote kupunguza mishahara mikubwa na kupunguza madeni ili kuendana na sheria hizi, ebu itazame ishu ya David silva pale Man city amekataliwa mkataba mpya wa pound 200,000 kwa wiki na uwezekano wa kusepa baada ya huu kuisha ni mkubwa hata Chelsea wamemgomea Ashley Cole mkataba wa miaka 2 kwani unakuwa na gharama kubwa wakamwambia ni mwaka mmoja kama hawezi atafute pakwenda (hata Drogba hali ilikuwa hivi hivi)

  Timu kama LIverpool imetangaza kuwa inauza Stadium naming right yake ya ANFIELD kama mwekezaji atakuja na pesa nzuri basi uwanja wao utakuwa na jina jipya ili watengeneze pesa kwa wingi..nadhani unaona Britania stadium (stock city),Dw stadium(wigan Athletic),Etihad stadium(man city),emirats stadium(Arsenal fc) na hata newcastle nasikia umeuzajina toka st. james's park

  Sheria hii itadhibiti timu kutfirisika kama Portsmouth,rangers,Leeds utd na malaga....na Transfers za pesa nyingi zitasahaulika siku si nyingi kwani sioni tena club ya kumnunua mchezaji kwa poud 80 milioni tena kwa sheria hizi...ukumbuke kuwa timu hazitotofautiana sana mishahara kiasi timu ndogo zitaweza ku hold on kwa wachezaji wao nyota

  Nadhani sheria ingeangazia kule La Liga maana Real Madrid na Barcelona wao wana mikataba ya matangazo ya television tofauti na vilabu vingine kwa mara 12 zaidi kimapato ndo maana wana uwezo wa kulipa vizuri na hata kuwa very strong kwa kusajiri wachezaji mahiri...mpaka kufikia timu kuwa mbili tu za kushindania ubingwa wa La liga
   
 4. Jayonepey

  Jayonepey JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 320
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Ngoja tuone.......
   
Loading...