UEFA & EPL zimenishika pabaya mafundi,msaada tafadhari.

UEFA & EPL zimenishika pabaya mafundi,msaada tafadhari.

tv oromiyaa waeza kuzipata katika SAT YA AMOS 5 @17'E katika C band freq3626 R syr 2000,na katika KU Band sat hiyo hiyo ya AMOS 5 @ 17'E 12216 V 27500

Mkuu huwa natamani sn haya mambo, but bado cjapata muda wa kutosha kujifundisha. Hongera zako.
 
Kwa sasa nafaidi epl kupitia chanel ya RDV bureee
 
FTA nyingi zinaonyesha champion leageue mechi zinazochezwa jumatano tu kama tv oromia, mbc3, nk ila jumanne ni FTA moja ambayo inakuwa active muda wa mechi (feed) etv hiderpark, ila kwa mpenda soccer suluhisho ni kutafuta reciver ya mpeg4 kama strong srt 4922 ARSELONA alikuwa nazo ili uitafute arabsat 5 at 20e upate chanel za Irib.

Vipi kuhusu BT Sports wanapatikana ukiwa na hiyo strong srt 4922?
 
Back
Top Bottom