udukuzi uko katika kiwango cha juu sana sasa hivi, app zenyenyewe tunazotumia kwenye simu zetu ndo zinakusanya data za mtumiajia ikiwa pamoja miamala yote ya pesa anayofanya kupitia simu kitu ambacho mdukiaji anakuwa anajua kabisa nani ana pesa nikimuomba atume kwa mfano 100,000/- kwa kivuli cha jina la mtu wake wa karibu ambae data zinaonesha wanawasiliana mara kwa mara na kufanya miamala kama hiyo hawezi zingua.
Simu sasa hivi si salama kabisa