Ikumbukwe kuwa kunamgogoro wa kimaslah Kat ya udsm na Nacte, mimi nipia nilikua selected Udsm, nimeenda chuo Mara nying lkn hawatak kutukomfirm, ni Kafanya uwamuz mgumu kutengua selection ili nichague vyuo vingine na Tayar nimepata Saut University mwanza, baada ya sakata hilo mkurugenz wa NACTE akakutana na Senate ya Udsm ili kujua jins ya kuwasaidia selected students, Ndo wakaachia Bach ya 8, pia Udsm wanajitoa kuchukua wanafunzi wa NACTE next year, watadeal na TCU