Udsm yageuka danguro wakuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udsm yageuka danguro wakuu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by NANKY, Dec 21, 2011.

 1. N

  NANKY Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jaman UDSM yageuka danguro mapenzi yanafanya sehem yoyote giza likiingia,mwanafunzi mmoja wa udbs(udsm school of bussiness)afumaniwa kwenye gari la mshikaji na mshikaji wake alitoka kwenye gari kwa hasira na kumpiga kichwa auxiliary police ofisa hadi kumpasua kwenye paj la uso ,ndipo mwanaume huyo alikamatwa na kupelekwa kituon ndipo alipigwa fain ya shiling 3,000,000 na kuachiwa na katoto hako ka kike ni mwaka wa kwanza hata shule hakajazoea kanabembeleza viongiz wa DARUSO JAMBO HILI LISIFIKE Mbali kwan ofice ya dean of students ikifaham atafukuzwa chuo kwa MUJIBU wa sheria ndogo ndogo za chuo,jaman dunia imekwisha ,maeneo ya hall 3 kwa maeneo ya campus ndo uwanja wa vita kama meada ,buguruni au ambiance,jaman wengine wanauza kabisa kunavyumba maalum ukitaka unapelekwa unapata service this is terrible ma dear
   
 2. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #2
  Dec 21, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,250
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  Ni mida hii? Kwahiyo nikija mida hii nitaopoa totoz hapo? Hebu nijuze mkuu nije fastaaaa!
   
 3. G

  Gread godwin Member

  #3
  Dec 21, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  njoo hall 3 floor ya pili rum ya pili kushoto ulizia mdada wa tigo rusha utapatiwa huduma
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Dec 21, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  sasa si ni watu wazima wale?
  Ningeshangaa kama wangekuwa wanakameruniana
   
 5. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #5
  Dec 21, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  ah safi sanaaaaaa....mie naona tabu ya nini wacha watu wajivinjari tuu.
  ebwana wee nami naona itabidi nije huko.
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Dec 21, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  wivu utawaua nyie watoto
  kama nyie ni malaika mngekuwa seminar rum mnasoma badala ya kuwa jf saa hii

   
 7. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #7
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  HATA HAUSOMEKI VILE. KITU UNACHOANDIKA HAKIELEWEKI HATA KIDOGO. HIVYO VYUMBA VIKO KWENYE HALLS ZA WANAFUNZI AU? INAMAANA OFISI YA DEAN IMEWATENGEA WANAFUNZI VYUMBA VYA KUFANYIA NGONO WKT ROBO TATU YA WANAFUNZI WANAKOSA VYUMBA KILA MWAKA UDSM? JE HUYO AUXILARRY POLICE ALIYEPIGWA NI KWANINI? YEYE NDIYO ALIKUWA NA HUYO MSICHANA KWENYE GARI AU NANI? NI HAKIKA HUELEWEKI KABISA NA INAONEKANA NI HADITHI ZA KUOKOTEZA TU. HUYO MWANAFUNZI, KAWEKWA NDANI, THEN KATOA 3,000,000; HIZO KALIPIWA NA NANI? UNATEGEMEA KESI IFIKE AUXILARY BILA UTAWALA KUWA NA TAARIFA? JE HUYO MSICHANA ALIKUTWA KWENYE GARI YA JAMAA ANAONGEA AU ANAFANYA NGONO? JARIBU KUWA UNATAFAKARI TAARIFA ZAKO KABLA YA KUZIPOSTI HAPA. Na ujaribu kuwa makini na title zako, Huo Udanguro wa UDSM umetokana na nini, kwamba kuna msichana kakutwa na mshikaji wake kwenye gari; then unakimbilia kuhitimisha kwamba UDSM danguro? Jaribu kuwa na fikra za kuto-generalize Taasisi nzima kwa uelewa wako ambao inaonekana hauna uhakika na unachokiandika hapa.
  Weka picha za hao wanaojiuza na hivyo vyumba kama unavyo vipo kama siyo kutudanganya hapa.
   
 8. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #8
  Dec 21, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Enzi zetu mzee PUNCH angekuumbua manake angemwanika huyo binti na jamaa yake wazi mchana kweupeee!
  Inaonekana "Mzee" amegraduate ama amekufa
   
 9. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #9
  Dec 21, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,250
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  We ni me au ke???? Au ni dalali?
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Dec 21, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  mbona hayo ni mambo ya kawaida vyuoni uazeeka vibaya boy..kua uyaone baab
   
 11. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #11
  Dec 21, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  we unafanya nini wifi?
   
 12. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #12
  Dec 21, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,460
  Likes Received: 766
  Trophy Points: 280
  Hall 3 block gani? A, B,C,au D ?? kuwa specific bwana
   
 13. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #13
  Dec 21, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  alafu mbona huyu kapiga faini kubwa sana? mie mbona nilitoa buku 50 tuu
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Dec 21, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  mie nafanya attack za ghafla ghafla
   
 15. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #15
  Dec 21, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,460
  Likes Received: 766
  Trophy Points: 280

  Kumbe na wewe ulishawahi kufumaniwa eeehh??
   
 16. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #16
  Dec 21, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  msizungumze vitu hamjui maana yake
  danguro mnajua lilivyo?
  swala la wanafunzi kujiuza kimya kimya hilo lipo dunia nzima
  but usiseme danguro
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Dec 21, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  yani mtu mmoja kufumaniwa ishakua danguro....?? We unajua danguro mkuu?
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Dec 21, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Word up, jamaa nadhani hajui danguro.... na si ajabu huyo dada amemegwa kwa kupenda na si kwa pay-fcuk mode
   
 19. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #19
  Dec 21, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  nimekumic sana nakusalimia tu
   
 20. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #20
  Dec 21, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  i wish u all the best in ur nyt activities.
   
Loading...