Tunashukuru mzee kwa hii updates, najaribu kujenga picha enzi hizo tulikuwa tunasubiri wakati huu kwa hamu sana na kisha kesho yake kununua magezi karibu yote kuchek jina lakini sasa tunawaangalia wadogo zetu tu.
wadau nisaidieni, nimeingia kwenye website ya tanzania commission of universities 'www.tcu.go.tz' ili kuona majina ya students selected in more than one institution2009/10 sasa kwenye multiple selection line ambayo ipo kwenye format ya excel na pdf nime download haikubali kuanzia jana na leo mpaka sasa sijafanikiwa. kama kuna mtu amedownload anisaidie
wadau nisaidieni, nimeingia kwenye website ya tanzania commission of universities 'www.tcu.go.tz' ili kuona majina ya students selected in more than one institution2009/10 sasa kwenye multiple selection line ambayo ipo kwenye format ya excel na pdfnime download haikubali kuanzia jana na leo mpaka sasa sijafanikiwa. kama kuna mtu amedownload anisaidie
File ni kubwa (about 12MB). Nadhani kuna watu wengi wanajaribu ku-download toka kwenye website yao. Speed toka kwenye server iliko website yao nayo itakuwa mgogoro.