F Fruit Senior Member Joined Jan 1, 2013 Posts 193 Reaction score 54 Jul 1, 2016 #1 Habari wapendwa, Wale walioomba nafasi za kazi UDSM May 2016 wameanza kuita watu. Usaili utafanyika Jumatatu 04.07.2016. Msikae mbali na simu zenu, mimi nimetumiwa SMS na kupigiwa simu.
Habari wapendwa, Wale walioomba nafasi za kazi UDSM May 2016 wameanza kuita watu. Usaili utafanyika Jumatatu 04.07.2016. Msikae mbali na simu zenu, mimi nimetumiwa SMS na kupigiwa simu.
nkanga chief JF-Expert Member Joined May 31, 2016 Posts 2,084 Reaction score 1,623 Jul 1, 2016 #2 uhakiki wao hawafati??
Naantombe Mushi JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 6,254 Reaction score 15,735 Jul 1, 2016 #3 Kwa nafasi gani mkuu? Kama ni za academic mbona walishaita kitambo?