Wadau post za udsm walizotangaza mbona wamekaa kimya yoyote mwenye taarifa za watu walikuwa selected i mean post za ma lectural
Mkuu zile post wengi tunazisubiri lakini kuna jamaa yangu aliniambia kuwa yule mama (HR) ni mtu wa Mbeya kwa hiyo wewe kama ni mtu wa mbeya zile zinakuhusu na huyo mtu aliyeniambia yeye ni wa mbeya na aliambiwa akiwa tayari barua ya maombi ampelekee mwenyewe mama mkononi na huyo jamaa yeye alifanya field mwezi wa 12 hapo hapo, sasa sijui kuna ukweli wowote au ni katika kukatishana tamaa! ila kwa kifupi ni kwamba kuna ukabilaWadau post za udsm walizotangaza mbona wamekaa kimya yoyote mwenye taarifa za watu walikuwa selected i mean post za ma lectural
ebu mpigie pro. mukandala