UDSM, UDOM Kuongoza utafiti rushwa ya ngono ni aibu!

Etwege

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
5,738
15,206
Gazeti la Nipashe limechapisha taarifa ya utafiti uliofanywa na TAKUKURU kuonyesha ukubwa wa tatizo la rushwa ya ngono vyuoni hapa nchini, ambapo matokeo yameonyesha vyuo vya Udsm na Udom vinaongoza kwa rushwa ya ngono nchini!!!.

Ikumbukwe vyuo vya Udsm na Udom ni vyuo vya serikali vilivyojaa maprofesa na madoctor wanaoheshimika ndani na nje ya nchi.

Utafiti kuonyesha kwamba maprofesa hao huwa wanafaulisha wanafunzi baada ya kupewa rushwa ya ngono ni aibu kubwa kwa taifa na kwa maoni yangu siku utafiti huo umetoka ilitakiwa itangazwe siku ya huzuni nchi nzima.
IMG_20201128_092211.jpg
 
Gazeti la Nipashe limechapisha taarifa ya utafiti uliofanywa na TAKUKURU kuonyesha ukubwa wa tatizo la rushwa ya ngono vyuoni hapa nchini, ambapo matokeo yameonyesha vyuo vya Udsm na Udom vinaongoza kwa rushwa ya ngono nchini!!!.

Ikumbukwe vyuo vya Udsm na Udom ni vyuo vya serikali vilivyojaa maprofesa na madoctor wanaoheshimika ndani na nje ya nchi.
Utafiti kuonyesha kwamba maprofesa hao huwa wanafaulisha wanafunzi baada ya kupewa rushwa ya ngono ni aibu kubwa kwa taifa na kwa maoni yangu siku utafiti huo umetoka ilitakiwa itangazwe siku ya huzuni nchi nzima. View attachment 1640177
Aibu yao sasa.Nakumbuka walimzinguaga sana yule Dr.shule na Bango lake wakati wa ziara ya Raisi.Alilipigia kelele hili wakamwita anatumika.Shame on you UDSM
 
Nikuulize swali mdau kama Mwanaume?
Wanafunzi wenyewe Wana misambwanda unaiona utaiachiaa kweli ikingia kwenye 18 yako

Ova
 
Aibu yao sasa.Nakumbuka walimzinguaga sana yule Dr.shule na Bango lake wakati wa ziara ya Raisi.Alilipigia kelele hili wakamwita anatumika.Shame on you UDSM
Wanakera mno
 
Sio aibu bora iwekwe wazi na iwe huru kwenda kudai haki endapo ikitokea
 
N kwel kabsa nikiwa kat ya vyuo hvo kuna CR wetu alikuwa n dem mkali but alikuwaa na matatzo ya moyo alienda kutibiwa ISRAEL kurud tushauwa UE ..hee matokeo kutoka ana A wakat hakufanya hata special .

Episode ingne kuna lecturer hasa group work akiona mna dem mkali nyie mtapata tabu kunaa mdaa ilibd dem tumshinikize amkubalie huyoo firaun ili tumalize chuo alikuwaa anatufelisha mfululizo but baadae hatukuona akitufatitilia tena...
 
TAKUKURU ni Research Institutions? Au investigation agency ya RUSWA?
Whats their manifest function? au wanatengeneza tatizo ili wajikite kulitatua? Synovate, Haki Elimu ,REPOA UDASA etc tuambieni na nyie mmeona nini kwenye Ramli ?
 
Back
Top Bottom