Ni kweli mjumbe choza ndo maana unaambiwa kuwa makini barabarani Sawa tanroads ndio Wana kosa sababu ya shimo ila dreva wa lorry asilimia 80% ni mzembe ndo maana akalifuata basi na kuliparamia sababu hakuwa makini na inawezekana jamaa hakupata mambo yetu(mirungi) kama wengi wanavyotumia na mi nakubaliana na mbatia malori yawe yanasafiri usiku
Nimekosa kuuona mwili wako kwani uliharibika sana pumzika kwa amani tutajaonana
Poleni sana wapendwa!! Mpaka hii Serikali ya CCM ing'oke Hapo October 2015, tutaendelea kuishi tu kwa majaliwa ya MOLA
Inauma sana unapojua kuwa Hawa wamekufa kwa sababu tu TANRODS mkoa was Iringa hawakutimiza wajibu wao. Kwakweli Mungu atusaidie ili mwezi wa kumi tupte viongozi tofauti na Hawa wa CCM.
Dah! inauma sana ila hakuna jinsi zaidi ya kushukuru allah!
Nimekosa kuuona mwili wako kwani uliharibika sana pumzika kwa amani tutajaonana