Ushauri kwa first year.jamani tunakumbushwa tuangaliebtulikotoka.wengine wakienda chuo wanasahau kabisa.hasa mabrothermen masister du.binti akiambiwa i love you ni maneno matatu tu analewa utadhani hajawahi kuambiwa. Kukumbuka ulikotoka chukua picha ya s/msingi then chukua ya sasa naamini utapata kitu.kila la heri.