UDSM-Remarks: Continuing student...

Kwa watakaokwenda TCU/UDSM kuulizia hili swala tunawaomba watuletee mrejesho
 
Mbona wameshatoa hiyo remark. Angalieni. Pia axmission forms zinatolewa
 
Endelea kusubiri mlango wa rehema haujafungwa. Ukishafungwa ndio utajua kuwa hukuchaguliwa chuo zilikuwa mbwembwe tu za kwenye account yako au la.
 

Mlishawahi kusoma au kusajiliwa chuo kabla ya hii application ya mwaka huu?
 
Mlishawahi kusoma au kusajiliwa chuo kabla ya hii application ya mwaka huu?


Hapana hatukuwahi kusoma , tulichaguliwa mwaka jana ila hatukureport chuoni , na hii ishu tulisha clear TCU kitambo sana ila vyuo vingine DIT, MUHAS, ATC wao tayari walishatoa majina ya walio clear wenye ishu exactly kama yetu long ago. but UDSM cjui kuna agenda gani ya siri inaendelea.
 
Mara nyingi tatizo linakua hilo.. Yaan mwaka jana ulisajiliwa na hukwenda...ila kama uli clear basi haina tatizo ila ni vyema ukafwatilia pia kwa uhakika zaidi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…