UDSM-Remarks: Continuing student...


Ngoja waje wahanga wenzakoo watakusaidia
 
Mie piaa muhanga bado account haijabadilika......bado tunasubiri tz ya viwanda
 
Selection Results
Congratulations!
Your application was successful and you have been selected to the following programme:
Bachelor of Science in Computer Science (UD034)
REMARKS: Currently a continuing student in another institution. Acceptance pending TCU verification and approval. Please contact TCU
SELEECTED IN ROUND: 1
CONFIRMATION STATUS:
- Confirmed to join University of Dar es salaam
sina presha! lazima waachie
 

Hii mkuu ilikuwa lini au wameupdate soon maana mine last time nilicheki asubuhi
 
umefanyafanyaje mkuu?
tusaidiane!!!
 
Ninatatizo kama hilo pia wadau,,,
 
Jamani hata Mimi Nina tatizo kama hilo, hadi kufikia sasa nimeanza kuingiwa na wasiwasi juu ya mustakabali wetu, wengi tumesha CLEAR TCU, lakini mbona bado hatuondolewi hiyo status kwenye remarks hapo na muda unazidi kwenda ?
Hivi TCU hawajawapa tu mrejesho watu wa vyuo hadi sasa kuhusu hili kundi kweli !

Jamani wahanga wenzangu, naomba tushirikiane, kwa wale mliopo Dar naombeni japo wawili watatu muende TCU mkaulizie juu ya hatma yetu na pia mfike hadi Chuo (UDSM) mkaulize ili tujue tunasimamia wapi...

Tafadhalini sana mlioko Dar na mna tatizo hili mtusaidie na kutupa mrejesho kwenye Uzi wetu huu.
 
Ninatatizo kama hilo pia wadau,,,

Mkuu kama uko Dar naomba uende ukaulize TCU na UDSM kwa niaba ya tulio mbali. Pale UDSM wameshaanza kutoa admission letter kwa wanaofika ofisini, nadhani itakua ni nafasi nzuri ya kuwauliza
 
someone has to do something juu ya hili kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…