MJASI LIAMALI
Member
- Mar 26, 2018
- 18
- 5
Mbona majibu waliochaguliwa yametumwa kwenye email. Nilitumiwa email tangu mwezi August nimechaguliwa hapo postgraduateHabari wana jamii forum,
Ninauliza anayejua majina ya udsm postgraduate walioomba kwa second round yatatoka lini, msaada tafadhari.
Mbona majibu waliochaguliwa yametumwa kwenye email. Nilitumiwa email tangu mwezi August nimechaguliwa hapo postgraduate[/QUO
Vizuri. Uliomba mwezi wa ngapi? Maana Mimi niliomba huo mwezi wa nane kwenye second round
Kuwaandikia sio shida. Tatizo ni kukujibuWaweza pia kupata maelezo zaidi kutoa katika ofisi ya udahili ya kurugenzi ya Postgraduate Studies (DPGS) kwa kuwaandikia katika anuani yao ya barua pepe:admission.dpgs@udsm.ac.tz
Uliomba mwezi wa ngapi?Daaaah mi wananipa stress sana mana mpaka saivi sijajuwa chochote yani
Mimi niliomba mwezi wa Tisa but mpaka sasa hakuna majibu yoyote, wanaendelea kutoa ya undergraduate tu. Bora watoe na postgraduate tujiandae mapema si kushtukizwa tu afu unapewa wiki mojaUliomba mwezi wa ngapi?
Shida kweli kweliDaaaah mi wananipa stress sana mana mpaka saivi sijajuwa chochote yani
Mimi niliomba mwezi wa 4 nimepata admission letter, juzi nilienda office ya postgraduate kuna mtu aliapply mwezi wa 9 aliambiwa next week wanatoa admission letter. Unaweza kunicheki kwa 0652730221 lakini sio sasa hivi usikuMimi niliomba mwezi wa Tisa but mpaka sasa hakuna majibu yoyote, wanaendelea kutoa ya undergraduate tu. Bora watoe na postgraduate tujiandae mapema si kushtukizwa tu afu unapewa wiki moja