UDSM on Air...

Hongereni sana vijana!!! kupata nafac hapo mliman angalizo km umepangwa CoNAS degree programme yoyote ile kakaze wale Jamaa hawana utani kabisa!!!
 
Wakitoa selection ya UDOM naomba mnishtue!
 
Hongera kwenu,mlopata nafasi ya kusoma na kuchaguliwa chuo iko.mnakaribishwa sana,kwa wageni wa Bsc.Chemistry nina infoz zote,ukitaka kufaham,usisahau kuwa madokta na professors wa
Hill hawapendagi ujinga kbsa.
 
Hongereni wote mliochaguliwa kujiunga UDSM. Mwenyeezi Mungu aendelee kuwapa baraka na nguvu ya kufanya vizuri katika masomo yenu hapo UDSM.

Hongera kwa mtoaji wa uzi huu, umejibu maswali ya wengi ambao bado hawakujua ni chuo gani wamechaguliwa. Endelea kuwa na moyo wa kuwapa habari muhimu hapa JF na kwingine katika mitandao ya kijamii. Ubarikiwe.
 
wakuu mbona majina hayafungi yote!?Au tatizo lipo kwa upande wangu tu!!
 
Mkasome sasa. Maana nyumbani watakupa ushauri na wewe utaenda kufanya unayo yajua wewe
 
Amina mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…