Angalia kozi ipi Ni marketable usiangalie jina la chuo. Naamin kozi umechaguliwa tofauti.Wakuu habarin ,,
Nlikua naomba ushauri nimechaguliwa UDOM na UDSM sas nlikua naulza wapi afadhali niende na kwanini..
nenda UDOM, PSPA ni nzuri kuliko EDUCATION, japokuwa ungechaguliwa PSPA- UDSM ingekuwa vizuri mno, all in all maamuzi yatabaki kwakoUdom n Political sciences and public admnxtration
UDSM ni Bachelor of arts in education
Sawa mkuuHivi hapa ndo tunaaminishwa kwamba mtu anapewa uwanja mpana wa kusoma akitakacho?
UDOM PSPA
Na UDSM Arts in Education...two unrelated courses.
Kikubwa angalia halmashauri yako ya kchwa inakwambiaje maana ukisubiri watu wakuchagulie utakuja laumu bure.
Huyu hela atataoa wapi kwa hizo kozi?Nenda UDSM kuna madem wakali halafu wanapendeza kinoma
Bora uende udom kuliko jalalani kwa hiyo kozi, ingekua jalalani hujapangwa kozi hiyo basi ungeenda hukoUdom n Political sciences and public admnxtration
UDSM ni Bachelor of arts in education
Hairisha (wrong) Ahirisha (correct)Hairisha mwaka huutafuta koz nyingine uksome ambayo itakufanya uwe professional tafuta law ufanye law school then Apo utaanzisha firm yako