Kandambilimbili
R I P
- Nov 11, 2008
- 782
- 43
Niliwahi kusikia maongezi ya watu kuhusiana na mashindano yanayoondeshwa na ZAIN kwa vyuo vikuu.
Nilisikia kuwa UDSM inatia aibu kweli kweli na ini dalili mbaya sana kwa elimu ya Tanzania, vijana wanashindwa kujibu maswali rahisi rahisi, wakati mwingine wanachagua maswali kwenye field amabazo hawana ujuzi mfano mtu wa B. Com anachagua maswali ya Medicine utaweza kweli????
Hata hivyo nasikia uchaguzi wa nani aende kwenye mashindano hayo umegubikwa na UFISADI wakati vyuo vingine wanaochagua ni walimu ambao uangalia wanafunzi VICHWA nasiki UDSM wanajichagua wanafunzi na uongozi wa wanafunzi, ili uchaguliwe inabidi ugawane zawadi utakazopewa na hao FISADI waliokunominate.
Jee hii ina ukweli wowote na imekaaje? Wana UDAM mnasemaje? mimi sijui ni TETESI nimezipata mahali.
shindano la zain ni la kishenzi haliendai na hadhi ya mwanafunzi wa chuo kikuu. maswali yanayoulizwa kwa mtindo ule yanafaa shule za msingi tena darasa la nne. huwezi kumuuliza interllectual kwa staili ile. watu wanatakiwa kujifunza ubunifu sio kukalili au kutakiwa kujibu kwa pupa. ni ujinga. ni udhalilishaji wa taaluma kwa bara la Africa
shindano la zain ni la kishenzi haliendai na hadhi ya mwanafunzi wa chuo kikuu. maswali yanayoulizwa kwa mtindo ule yanafaa shule za msingi tena darasa la nne. huwezi kumuuliza interllectual kwa staili ile. watu wanatakiwa kujifunza ubunifu sio kukalili au kutakiwa kujibu kwa pupa. ni ujinga. ni udhalilishaji wa taaluma kwa bara la Africa
Jamani ni balaa mbona naona kama tunaburuzwaa......duu hadi najisikiaga aibu..sijui ni english ndio tatizo au hatuna conf sijui...ila duu ni soooo
Its just a game guys..relax..
NOPE, this is more than a game, hata kama HOJA IKO PALE PALE, tunatia AIBU alafu sie hao hao ndio tunajiita CHUO BORA TANZANIA.
UFISADI sio serinalini tu, hata kwenye vyuo vya elimu. unafikiri mwanafunzi atawezaje kulipa 40% ya ada kama asipofanya mbinu za KIFISADI kama hizo
kweli kabisa kile chuo cha IMTU kilitia aibu sana, ilifika hatua walikaa kimya kabisa...japo mwenzao mmoja alikuja kuwaokoa mwishoni kidogo...ule mchenzo sio mbaya kama wengine wanavyosema...kwanamna fulani unareflect mfumo wetu wa elimu...Tanzania tunakamua sana taaluma ya darasani kuliko real situation duniani, elimu yetu ni ya kufikirika mno na mitaala yetu bado ni ya zamani haiendani ni technological changes...most of the best students from Engineering are now either good accountants or finance managers kwa kuwa walipopewa kazi za taaluma waliyosomea walichemka..... Na juzi ndio ilikuwa aibu zaidi! Kile chuo gani sijui cha uganga cha Daressalaam, tena kina neno International, ilikuwa ni aibu tupu! yaani walikuwa wanaonyesha kuwa hawana general knowledge ya mambo mengi yanayoendelea duniani!!!
kweli kabisa kile chuo cha IMTU kilitia aibu sana, ilifika hatua walikaa kimya kabisa...japo mwenzao mmoja alikuja kuwaokoa mwishoni kidogo...ule mchenzo sio mbaya kama wengine wanavyosema...kwanamna fulani unareflect mfumo wetu wa elimu...Tanzania tunakamua sana taaluma ya darasani kuliko real situation duniani, elimu yetu ni ya kufikirika mno na mitaala yetu bado ni ya zamani haiendani ni technological changes...most of the best students from Engineering are now either good accountants or finance managers kwa kuwa walipopewa kazi za taaluma waliyosomea walichemka...
the challenge is good...nadhani tu vyuo vijaribu kupeleka wawakilishi bora zaidi...