economista
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 291
- 247
Huwa nashangaa sana ninapokuta mtu anakosoa ubora wa vyuo vya binafsi kuwa havina ubora isipokuwa ubora upo udsm, mzumbe, sua na vingine za serikali. Lakini swali la msingi bado linabaki palepale kuwa mbona robo tatu ya waadhili wa vyuo hivi vya binafsi ni zao (products) za udsm, sua na mzumbe? Inamaana hawa wahadhili hawakuandaliwa vizuri huko udsm?
Nakaribisha mawazo yenu
Mkuu kwa lugha hii utaendelea kushangaa sana
mkuu hii mada ipo kule kwenye majukwaa ya elimu. sisi kwenye hili jukwaa tushapita stage ya kubishana kuhusu vyuo
Nimekuelewa
N kweli itabidi ashangae sanaMkuu kwa lugha hii utaendelea kushangaa sana
Kwa uandishi huu kama upo kwenye hivyo vyuo vya binafsi, wewe mwenyewe utakua ni bomu na janga kwa taifa. Kiswahili chenyewe chenga, umefikaje chuo wewe?Huwa nashangaa sana ninapokuta mtu anakosoa ubora wa vyuo vya binafsi kuwa havina ubora isipokuwa ubora upo udsm, mzumbe, sua na vingine za serikali. Lakini swali la msingi bado linabaki palepale kuwa mbona robo tatu ya waadhili wa vyuo hivi vya binafsi ni zao (products) za udsm, sua na mzumbe? Inamaana hawa wahadhili hawakuandaliwa vizuri huko udsm?
Nakaribisha mawazo yenu
N kweli itabidi ashangae sana
Kwa uandishi huu kama upo kwenye hivyo vyuo vya binafsi, wewe mwenyewe utakua ni bomu na janga kwa taifa. Kiswahili chenyewe chenga, umefikaje chuo wewe?[/QUOTE
Watu wasio na hoja utawajua tu
N kweli itabidi ashangae sana
Kwa uandishi huu kama upo kwenye hivyo vyuo vya binafsi, wewe mwenyewe utakua ni bomu na janga kwa taifa. Kiswahili chenyewe chenga, umefikaje chuo wewe?
Amini usiamini, malecture wa vyuo vya UMMA wanakaza sana kwa wanafunzi wao kuliko wanavyopiga part time vyuo vya binafsi. Kuna malecture umeshafanyika utafiti kwn pepa ya lecture flan alienda kuwatungia wanafunzi wa Hubert Kairuki paper rahisi kuliko anazowatungia wanafunzi wake MUHAS. Tumaini waliwah kumkataa lecture mmoja wa Mzumbe kwa 7b anatunga mtihani mgumu. linganisha GPA za wanafunzi wa tumaini na HKMU vs za MUHAS na MZUMBE uone zipi ziko juu alafu angalia trend ya matokeo yao toka O level alafu uniambie nani anastahili GPA kubwa. Wakt mwingine inakuwa kama ni adhabu kufaulu vzr A level
Huwa nashangaa sana ninapokuta mtu anakosoa ubora wa vyuo vya binafsi kuwa havina ubora isipokuwa ubora upo udsm, mzumbe, sua na vingine za serikali. Lakini swali la msingi bado linabaki palepale kuwa mbona robo tatu ya waadhili wa vyuo hivi vya binafsi ni zao (products) za udsm, sua na mzumbe? Inamaana hawa wahadhili hawakuandaliwa vizuri huko udsm?
Nakaribisha mawazo yenu
Huwa nashangaa sana ninapokuta mtu anakosoa ubora wa vyuo vya binafsi kuwa havina ubora isipokuwa ubora upo udsm, mzumbe, sua na vingine za serikali. Lakini swali la msingi bado linabaki palepale kuwa mbona robo tatu ya waadhili wa vyuo hivi vya binafsi ni zao (products) za udsm, sua na mzumbe? Inamaana hawa wahadhili hawakuandaliwa vizuri huko udsm?
Nakaribisha mawazo yenu
Lakini hivi vyuo vya binafsi walimu wake wengi walioajiriwa kwa ajira za kudumu ni products za udsm na mzumbe