UDSM Masters degree admission 17/18

UDSM Masters degree admission 17/18

DhulRah

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2016
Posts
251
Reaction score
218
Wadau, mwenye taarifa zozote za admission za masters UDSM znatoka lini naomba atusaidie,
Mwanzo wakati tunaapply waliweka tangazo kuwa watatoa majibu July mwishoni lakin mpaka sasa bado hawajatoa, hii delay inasababishwa na nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuliko kupoteza pesa yako kwenda UD kusoma masterz ni bora ukasome Mzumbe kwenye uhakika wa kumaliza. Otherwise ada ulipiwe na mfadhili au uache kazi usome full time ndipo utahitimu.
 
Kuliko kupoteza pesa yako kwenda UD kusoma masterz ni bora ukasome Mzumbe kwenye uhakika wa kumaliza. Otherwise ada ulipiwe na mfadhili au uache kazi usome full time ndipo utahitimu.

Wewe kweli unaumwa hivi Mzumbe unaijua au unaisikia au unaongelea Mzumbe tanga?
 
UDSM kumaliza masters ni msoto sana, anachosema Nichumu kina ukweli.
 
Back
Top Bottom