Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,682
- 9,557
Marathon siku hizi ni dili.Wajipangeje sasa?
Toa ushauri wa kueleweka
Vigezo na masharti yanazingatiwa?Au kinachoangaliwa ni ukusanyaji wa ada/mchango/kiingilio kutunisha mfuko?UDSM hakika mmejitahid kuandaa marathon matata nchini. Kongole. Ila mnabidi mwakani mjipange zaidi
Anzisha yakoMarathon siku hizi ni dili.
Kadange na wewe Kama utapata hata salamuMarathon imekuwa ni sehemu nzuri sana ya wadangaji.
cc: KiliMarathon.
Wale wale chakubimbi wa kuukimbia ukweli.Kadange na wewe Kama utapata hata salamu
Kama wewe unavyopiga dili kitaa?Anzisha yako
Ulitaka UD wachezeshe watu vigodoro? Michezo yenye staha kama Marathon ndiyo inayotakiwa!