Na sisi tumesoma hapo hapo..usijione kuwa wewe ndiye unajua sana mambo. You are no body little bro, bila wao usingejua hiyo UDSM ni kitu gani, usingejua maana ya boom ni nini.
Ukipata muda, jifunze kidogo abt bodi ya mikopo, labda utapata mwanga kidogo.