Udsm inakuwaje tena na kipengele cha dini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udsm inakuwaje tena na kipengele cha dini

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by GENERARY, Sep 23, 2012.

 1. G

  GENERARY Member

  #1
  Sep 23, 2012
  Joined: Aug 31, 2012
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  REGISTRATION FORM “A” KIPENGELE NO. 7. Inakuwaje kwa chuo cha Serikali kutaka kujua dini na dhehebu la mtu? ili hali machungu ya sensa yenyewe bado hayajaisha! what is the reason behind? Nisadieni mnaoelewa juu ya hilo
   
 2. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  machungu ya sensa?? Na wewe ulikua mmoja wa wale wanaoweka mabango nje ya nyumba kuwa hawataki kuhesabiwa na wanawatishia usalama makarani?? Huna akili wewe. Vitu vinafanywa kwa maslahi yako mwenyewe afu una resist. Badala ya kuwaza maendeleo dogo unawaza udini na upuuzi 2.
   
 3. Firewall

  Firewall JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2012
  Joined: Aug 18, 2012
  Messages: 266
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hata mm sioni mantiki ya swali lako. Kwani form ngapi za serikali zina sehemu ya kujaza dini?? Nyingi 2 mbona?? Labla wenyeji haswaa wa udsm wa2ambie kama iko kipengele ndo kmeekwa mwaka huu!!
   
 4. naumbu

  naumbu JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 3,862
  Trophy Points: 280
  Kama ungempuuza ungekatika miguu?hoja hujibiwa kwa hoja sio povu!!ungeona haina maana ungempotezea usiwe dictator.
   
 5. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  watu wanaotaka kuleta udini na ukabila baina yetu sio wa kupuuza ni wakukemea vikali, madhara wanayoweza kutuletea ni makubwa kuliko unavoweza fikiri, hata baba wa taifa alisema hayo.
   
 6. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kipengele cha dini ni muhimu. Unafikiri ukipata matatizo ukaaga dunia,ndugu zako hawapatikani unafikiri utazikwa kwa madhehebu gani? Utazikwa na city. Kule muhimbili watu wanazikwa na citu kwa sbb anaokotwa hana ID,dini haijulikani what do u expect?
   
 7. kashengo

  kashengo JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 2,649
  Likes Received: 466
  Trophy Points: 180
  Nimejiunga UDSM mwaka 07 na kilikuwepo then ni suala la siku zote alafu achana na Issue za UDINI hautakufikisha kokote
   
 8. Firewall

  Firewall JF-Expert Member

  #8
  Sep 23, 2012
  Joined: Aug 18, 2012
  Messages: 266
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Safi..!
   
 9. d

  dev senior JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 324
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 80
  hapo umenena sawasawa,nimeshuhudia utata mwingi ukitokea kwenye maziko,fujo,mvurugano,mvutano na mapigano,hasa mtu anapokuwa haeleweki ni wadini ipi?
   
 10. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  dini ya mwanafunzi inawahusu nini, wapuzi tu. it is not kwamba wataongeza msikit au kanisa. pathetic.
   
 11. E

  Epicauta elbovitata Senior Member

  #11
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  u are the one who is pathetic..me naic hata hujasoma post za kamanda hapo juu ambaye kaelezea kuhusu mfano incase mtu akafa..na huo ni mfano kat ya mingi...yaan chuo kimeanzishwa toka miaka hiyoo watu wamekaa wakaumiza vichwa wakaweka hicho kipengele alafu wewe ndo unajifanya soo clever n say its pathetic.!!?grow up men
   
 12. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #12
  Sep 23, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  kwa hiyo chuo ndio kanagharamiaga mazishi, we ndo pimbi namba moja unadhani ni wewe tu uliyesoma hapo? kenge wee
   
 13. k

  kidotulotokordwak II Member

  #13
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 17, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona haueleweki?nani analeta udin kat ya mleta mada na chuo walioweka hicho kipengele?hapa tujadili kama hicho kipengele kina mantik kuwepo,je kina umuhimu? Kama upo up?mimi binafsi hicho kipengele sitak kiwepo coz sijaona mantik yake
   
 14. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #14
  Sep 23, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  You make a valid point na kuna mdau kaelezea hapo juu in a good way. Sasa machungu gani ya sensa jamaa anayoongelea kama sio kuleta uchochezi usio na msingi wowote?
   
 15. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #15
  Sep 23, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  nilkuwa naelekea kuandika hapo bold na hilo ndilo lengo lake nothing else. Imagine ajali za vyombo vya usafiri kama mv bukoba, spice islander, mabasi etc mwili umeptika lkn hakuna aliyemtambua mrehemu sasa mtu huyu akazikwe kwa taratibu za dini gani? makaburi gani? ya waislamu au wakristo? na mwisho ndio hapo wavuta bange wa city wanachukua jukumu.. ha ha ha wale jamaa wanachimba kaburi linaishia magotini halafu mwili unatupiwa kama kiroba usiku mbwa wanageuza kitoweo
   
 16. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #16
  Sep 23, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mkuu ni kweli kabisa usemayo kwa sbb nimeshuhudia. Inafika mahali watu wanataka kujitolea kuzika dini halijulikani. Miaka ya 1979-80 nilishuhudia mbwa wakichimba maiti makaburi ya pale kaloleni jirani na shule ya Meru na kaloleni. Na yaliyokuwa yanachimbuliwa na mbwa ni hayo ya city.
  Ni bora hyo dini yako ijulikane hutakosa wasamaria wa kukusitiri.
   
 17. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #17
  Sep 23, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  hahaha sawa kabisa mkuu halafu juu ya kaburi wataweka kibao cha manispaa ya temeke
   
 18. k

  kidotulotokordwak II Member

  #18
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 17, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hujanishawish
  hiv kama mtu amekufa na midhambi yake akizikwa kwa iman ya din yake ndo anasamehewa dhamb?
  2.ivi kwenye mel na hayo mabac watu wanatembea na kad za kuonyesha wao ni din gan?
   
 19. Muttaline

  Muttaline Member

  #19
  Sep 23, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  akili ndogo
   
 20. Muttaline

  Muttaline Member

  #20
  Sep 23, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  bado hujamsaidia mtoa mada
   
Loading...