OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,075
- 114,591
Ilikuwa ni mwaka 2009 ile tunahangaika kupata admission za vyuo. Mimi programme zote nikaomba UDSM nikijiamini na One yangu ya 9. Mwanangu mmoja akanionya kuwa omba na chuo kingine kimoja kati ya UDOM na IFM, ili ukikosa UDSM upate pengine. Kwa shingo upande nikatii.
Mwisho wa siku sikupata nafasi pale UDSM The Home of Intellectuals. Niliumia sana kwa kweli mpaka leo nikiangalia Transcript yangu inawaka GPA kali lakini bado moyo hauridhiki sana kwa kuwa hiyo sio GPA ya UDSM.
Hili sakata nimelikumbuka leo wakati nina-update CV yangu.........
Mchana mwema wa Ndugu.....mkazanie kijana wako afaulu vizuri ili akasome UDSM Mungu akipenda