Mkuu, "Faculty of science" ndio ipi pale ?Bro nimesoma Pale. Ni chuo change hadhi yake na kikubwa lakini sio Faculties zote academically ni bora kuliko vyuo vingine.
Nenda tu hata mashule ya secondary utakutana na walimu very Smart na wametoka vyuo local tu. Yaani wamewaacha mbali sana wenzao waliopita UDSM. Nenda kwenye Taasisi au mashirika ulinganishe mtu wa Mzumbe au Tumaini vs UDSM utashika Tama.
UDSM Faculty za Science tu ndio wanastahili heshima kubwa sana. Lakini hizi za Business Administration etc etc wajisifu tu kuwa walisoma chuo kikubwa. Hivyo tu yaani
Ameoa na ana mtoto mmoja mkuu.2024 Inshallah. Ila asijichanganye kuoa atajutaaa, ataishia na stress
Kufundisha sio lazima
Wanafanya hivyo mkuu. Hata ukitazama kwenye hiyo nyaraka hapo utaona wameainisha points zimetoka kwenye nyanja zipi.Vyuo vyote nilivyopita mimi, teaching inachangia kati ya asilimia 15-25 kwenye packet yako ya tenure/promotion. Kama UDSM hawafanyi hivyo ni makosa kwa sababu kufundisha ni mojawapo ya jukumu la msingi sana kwa mwalimu wa chuo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee dea lol.Duh naona ma Dr watatu wamenifundisha kabla hawajawa ma Dr, wako promoted, tena huyo mmoja alikuwa mnoko hatari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahUDSM hawatakagi mchezo linapokuja Jambo la publications na promotion. Lipo zee flan la Kihaya linasotea mwaka wa 7 huu kuwa prof kila mara wanaliambia points hazijatimia linaishia kunywa bia tu pale Mawasiliano Park
Hukusoma/hujasoma UDSM? Nmeuliza tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23]Kimsingi UDSM huwa inafanya Mambo kujikuza tu. Wanatengeneza mazingira ya Magumu tofauti na uhalisia. Wakati hakuna utofauti wowote kitaaluma na aliyemaliza Theophile K university au St. Augustine.
Labda Muhimbili, Ardhi na jamaa wa Engineering ndiyo wanahitaji heshima. Hawa wengine sijui Law, BCom, Political Sc, Edu, BA... na science zingine za kinadharia nadharia SIJAONA UTOFAUTI WOWOTE NA GRADUATE WA THEOPHILE KISANGI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wako taasisi mbili, huyo mwingine lilikuwa lichoyo la marks aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] UDSM mbna faculty zote lect ni wachoyo wa marks, sema vile chuo pendwa. Ndo watu wanakomaa kibishiMa gwin hao conas wange disco mapema mno, [emoji23][emoji23]hafu usinikumbushe Hawa wachoyo wa marks ukijitahidi sana una b plain
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daa mkuu yaani life la bibo nililifurahia Sana. Pale uwanja wa basketball nafungua zipu block A anaikalia huku tunapiga story.
Ama tulisoma muda ukienda zile dining na kitchen za block F. Yaani anakaa Mezani romance za kufa mtu afu miguu begani viwili kiafya unaoga unalala kesho main campus desa linapanda bila ya kuwaza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niliwahi kung'oa demu hata simjui pale Bibo getin. Nikampeleka "machinjioni" uwanjani akapigwa 2 nikamtoa 5,000 tu. Aisee sijui nilikua najiamini nn
View attachment 2048062
Ukuhiji zaidi ni kifoAcha chuki na mtu ambae hayupo tena duniani,hiyo PhD kaipata hata kabla hajafikiria kuwa Rais wa nchi.
View attachment 2047474
Uwe unaelewa kwanza maana kila uzi unalalamika kuhusu graduates. Umeelewa nilichokuwa nazungumzia au kwa vile nawe ni graduate wa hii mifumo yetu mibovu umeamua tu kujibu?Kama kufundusha sio lazima, matokeo yake mnapata graduates vilaza ambao wanashindwa hata kuandika application letters!!!
Naona aiseeVery soon atakuwa associate professor yuko moto sana
Mbona kaoa long time tu2024 Inshallah. Ila asijichanganye kuoa atajutaaa, ataishia na stress
Even Warren buffet once said " you can't study sex by having large romances"Mafundi wa chini ya mwembe wengi wanajua magari kuliko lecturers wa Automobile Engineering. Unabisha?
Compared to Conass[emoji23][emoji23][emoji23] coet Kuna unafuu gani jamani?
Sijazeeka kivile bana, na miaka ya kawaida tu
Hivi unakumbuka hiyo PhD alipewa mwaka gani au unaropoka tu kwa chuki zako za kutumbuliwa vyeti feki??!!Kwakweli maswali yalikuja, huyu kawa Waziri Yuko busy sana na katika mawaziri waliokuwa wako busy ni yeye, pili how comes anaingia kuwa Rais ndio anapewa hiyo PhD?
Halafu alisoma lini yaani aliandika mambo gani maana haikuwa honorary degree, wadadisi wanatafuta alichofanyia thesis
Ndio maana huwa nakubali elimu ya Ujerumani. Alafu kwenye sayansi naheshimu zaidi patent kuliko PhD ingawaje vyote vinapatikana kwa research. Kwenye social sciences naona ni vigumu kidogo kuona mchango kiurahisiEven Warren buffet once said " you can't study sex by having large romances"
Mkuu nimekukubali Sana big up.una maono sema sie hapa TZS tunahitaji akili ya kukubali anachosema mkubwa. Akisema chanjo haifai basi hata Kama wewe daktari una uhakika kuwa inafaa afu uongee kuwa inafaa nadhani wasiojulikana wanakuhusu.