Mao ze dong
JF-Expert Member
- Aug 28, 2012
- 941
- 1,006
Ya kweli hayo mwanangu Mao ze Comedy au kujifagilia? Sioni sifa wala ithibati ya UDSM kushindwa na UDOM so to speak. Hata ukiangalia utafiti wa ubora wa vyuo Afrika UDOM yako haimo. Kama tutakuwa wa kweli, UDOM bado haijawa na sifa ya kuweza kupambanishwa na UDSM. Tuache mapenzi. Unachosema kinaweza kuwa na maana kama utakuja na ushahidi wa kutosha na siyo hisia na mawazo yenye kutia kila aina ya shaka. Walijisemea wahenga; Nazi haishindani na jiwe. Ni ushauri tu.
kweli we ndo father of all idiot. Leo hii tukisema serengeti ni moja ya maajabu saba ya dunia kesho asubuh unataka wawe wamesha iweka kwenye guiness book of records. That is the matter of time.
Ukiona majirani, ndugu na jamaa wanakuchukia simply kwasababu umesoma jua umewazid kitu. Kabla ya kuanza kwa Udom 2007 hapakua na malumbano ya vyuo, umewah kujiuliza ni kwanini?
...
Ukikurupuka ku-comment bila kuzijua organization behaviors utaishia kuandika utumbo.
NB:
kuna kundi linaitwa "udom ndo home" facebook. Kama msi
Dogo soma acha kutumia masaburi kuchambua mambo!Hiyo UDOM haiwezi hata kulinganishwa na St Augustine achilia mbali UDSM.Hiyo pambanisha na Eckenford
Sio muumini sana wa kugombania ubora wa Vyuo kwa sababu kesho naweza kwenda kusoma au kufanya kazi kwenye Chuo hicho hicho ninachokiponda.....Hata hivyo, mimi nimesoma UDSM....Ninao ndugu, jamaa na marafiki wanaosoma na waliosoma UDOM na wengine wanafanya kazi UDOM. Sijafika UDOM, siijui vizuri sana kiasi cha kulinganisha na UDSM. Hata hivyo naamini kwa dhati kabisa, mtoto wa miaka Mitano (2007-2013) hawezi kwa namna yoyote ile kulinganishwa na Mtu mzima wa miaka 52 (1961-2013) labda sura tu na kwamba wote ni binadamu i.e Vyote ni Vyuo Vikuu.
Tuipe muda UDOM ijipange, izalishe Walimu wake (leo inategemea products za UDSM, SUA,ARU,MUHAS na MZUMBE)... Sidhani kama UDOM ilijengwa ili kushindana na UDSM. ALiyebuni wazo la kujenga UDOM (awe Kikwete au Mtu mwingine) hakulenga kushindanisha UDOM na UDSM...UDOM ilikuja kucomplement mapungufu ya UDSM (Naamini yapo mengi sana) ikiwemo kuchukua idadi ndogo ya wanafunzi. Sidhani kama JK (M UDSM), Dkt Bilal (M UDSM). Prof Kikula, Mlacha, Mwamfupe na wengine wapo pale kushindanisha UDOM na UDSM...kwenye hayo mashindano wao watakuwa upande gani?
Ni akili za watu wenye uelewa mdogo wa "Organizations Behaviour" ndio wanaoweza kujadili kulinganisha mtoto anayekuwa kwa kasi na Mzee mwenye Uzoefu kazini. Tuaiche UDOM ikue, tutakuja kutoa maoni labda baada ya miaka 15 au 20 hivi pale ambapo Chuo kitakuwa na Walimu wa kutosha n.k.................
.MImi huwa sipendi sana haya mambo ya ushabiki wa Vyuo kama wa Simba na Yanga. Unapolinganisha UDOM na UDSM, vyuo vikongwe kama SUA, ARU, MZUMBE, na MUHAS unaviweka kundi gani? Uobra wa Chuo hausaidii chochote kwenye mafanikioa ya mtu binafsi, kama ubongo wako umekuwa reduced kwenye kulinganisha Vyuo na kuchambua kwa kutumia tu "Organizations Behaviours" hata Usome UCLA, Stanford, Harvard, Yale,Bekerley, Massachussets, Southampton, Oslo, Twente au Oxford utabaiki kuwa bogus tu
well said....ila nlivyomsoma huyu jamaa alikua anataka kutangaza kapage kao ka facebook....Sio muumini sana wa kugombania ubora wa Vyuo kwa sababu kesho naweza kwenda kusoma au kufanya kazi kwenye Chuo hicho hicho ninachokiponda.....Hata hivyo, mimi nimesoma UDSM....Ninao ndugu, jamaa na marafiki wanaosoma na waliosoma UDOM na wengine wanafanya kazi UDOM. Sijafika UDOM, siijui vizuri sana kiasi cha kulinganisha na UDSM. Hata hivyo naamini kwa dhati kabisa, mtoto wa miaka Mitano (2007-2013) hawezi kwa namna yoyote ile kulinganishwa na Mtu mzima wa miaka 52 (1961-2013) labda sura tu na kwamba wote ni binadamu i.e Vyote ni Vyuo Vikuu.
Tuipe muda UDOM ijipange, izalishe Walimu wake (leo inategemea products za UDSM, SUA,ARU,MUHAS na MZUMBE)... Sidhani kama UDOM ilijengwa ili kushindana na UDSM. ALiyebuni wazo la kujenga UDOM (awe Kikwete au Mtu mwingine) hakulenga kushindanisha UDOM na UDSM...UDOM ilikuja kucomplement mapungufu ya UDSM (Naamini yapo mengi sana) ikiwemo kuchukua idadi ndogo ya wanafunzi. Sidhani kama JK (M UDSM), Dkt Bilal (M UDSM). Prof Kikula, Mlacha, Mwamfupe na wengine wapo pale kushindanisha UDOM na UDSM...kwenye hayo mashindano wao watakuwa upande gani?
Ni akili za watu wenye uelewa mdogo wa "Organizations Behaviour" ndio wanaoweza kujadili kulinganisha mtoto anayekuwa kwa kasi na Mzee mwenye Uzoefu kazini. Tuaiche UDOM ikue, tutakuja kutoa maoni labda baada ya miaka 15 au 20 hivi pale ambapo Chuo kitakuwa na Walimu wa kutosha n.k.................
.MImi huwa sipendi sana haya mambo ya ushabiki wa Vyuo kama wa Simba na Yanga. Unapolinganisha UDOM na UDSM, vyuo vikongwe kama SUA, ARU, MZUMBE, na MUHAS unaviweka kundi gani? Uobra wa Chuo hausaidii chochote kwenye mafanikioa ya mtu binafsi, kama ubongo wako umekuwa reduced kwenye kulinganisha Vyuo na kuchambua kwa kutumia tu "Organizations Behaviours" hata Usome UCLA, Stanford, Harvard, Yale,Bekerley, Massachussets, Southampton, Oslo, Twente au Oxford utabaiki kuwa bogus tu
MBONA UNATAKA kunilazimisha kuamini nsichotaka kuamini.....kweli na hiyo ndiyo picha halisi ya UDOM.....kama kundi limejaa vichaa(ambao wote ni wana UDOM) je udom nzima itakuaje???Ukiona majirani, ndugu na jamaa wanakuchukia simply kwasababu umesoma jua umewazid kitu. Kabla ya kuanza kwa Udom 2007 hapakua na malumbano ya vyuo, umewah kujiuliza ni kwanini?
Kwasababu vyuo vilivyokuwepo vilikua havitofautiani katika sifa na competition kati yao ilikua ndogo. Kama umesoma organization behaviors utakubali hili.
Baada ya kuzaliwa kwa udom malumbano yakaanza,je unajua ni kwanini?
Udom ilikuja na changamoto zifuatazo kwa vyuo vingine ikiwepo mlimani
1.changamoto ya idad ya kupata wanafunz wakutosha kwa vyuo vingine hasa ukitegemea intake ya udom ni kubwa ya kuweza kumeza vyuo kumi na kisijae
so what they did here ili wasikose wanafunz ni kuanza kutengeneza sifa mbovu kuhusu udom ili waendelee kupata intake ileile kwenye vyuo vyao
2. Kufunguliwa kwa udom kulileta changamoto ya uwezekano wa lectures kwenda udom na kuhama baadh ya vyuo, so what measure they took ni kuamua kuikashifu udom na kuongeza maslah kwa ma lecture katika vyuo vyao wasikimbie. Kama una ndugu yako lecture hapo ud au mzumbe wanalifaham ili.
3. changamoto nyingine ni kutaka kuendelea kubaki na sifa ya vyuo vyao kwa kupinga na kuponda the emerged one which is udom
hizo ndo sababu mabishano ya vyuo yameanza pale udom ilipoanza. IZO NI ORGANIZATION BEHAVIOUS KATIKA KU FACE COMPETATION. Kaa darasan uzisome utajua the in and out.
Ni kweli kwamba uzur wa majengo na intake havitumiki ku determine ubora wa elimu ila vinakua ni changamoto kwa vyuo vingine kwamba applicants wanaweza wakavutiwa na vitu hivyo so what to do nikusema kinachozalishwa ni feki ili kuendelea kupata intake ileile kwenye vyuo vyao.
(go and study organization behaviours in dealing with competitions)
changamoto ndogo ndogo zinazoikabili udom haziwez kuondoka kama kikwete hatatoka madarakani kwa kumuweka prof kikula na kuchanganya siasa,dini na elimu.
Mtoto wa miaka 4 kila siku anaendelea kukua na anaendelea kuwa tishio kwa wazee wa miaka 50 na zaid, je huyu mtoto akifikisha miaka 20 tu atakua hakamatiki.
Ukikurupuka ku-comment bila kuzijua organization behaviors utaishia kuandika utumbo.
NB:
kuna kundi linaitwa "udom ndo home" facebook. Kila mnachopost kuweni makini na mnachochangia, kundi limejaa wastaarabu wa chache, weng wanatumia lugha za kiuni.
MBONA UNATAKA kunilazimisha kuamini nsichotaka kuamini.....kweli na hiyo ndiyo picha halisi ya UDOM.....kama kundi limejaa vichaa(ambao wote ni wana UDOM) je udom nzima itakuaje???