asilimia kubwa wananunua original sababu pc mpya unakua umeshalipiwa na oem wako. mfano umenunua laptop ya lenovo inakuja na cd genuine, ile hela uliolipa kununua laptop kiasi umelipia pia windows (kama sjakosea ni dola 40). jibu ni ndio watu wanatumia original