RaqLuceiro
New Member
- Jul 23, 2017
- 2
- 0
Jamani kwa wale walioapply UDOM before agizo la waziri, wakatozwa 30,000 as application fee. UDOM itarudisha hizo pesa na wakate 10,000 yao tu.
Nadhani watatumia tu ule msemo wa wahenga " Kiendacho kwa mganga...."
asee bora iwe ivoNadhani watatumia tu ule msemo wa wahenga " Kiendacho kwa mganga...."