Tatizo wana vyuo wa siku hizi eti wanajifanya kushabikia upinzani.. Wakachukuee kadi za ccm wapate mikopo.
Hivi kushawahi tokea mgomo udom? Mkuu tunaongelea udom na sio udsmUdom tuliondoka na migomo sikuhizi wamebaki wadada tuuh!
Mwigulu kashasema Leo pesa zipelekwe, wanafunzi wapewe ndiyo taratibu zingine za kiuhasibu zifuatwe. Ila hawa wanachuo wa siku hizi Dah!
Use unatumia akili Na busara wanachuo ni watu wazima Na kila MTU anahaki ya kuwa Na chama Na atutegemei wote wawe ccm au wote ni cdm so hata matamko hvyo hvyo,katika mi wanafunzi mijinga nchi ii ya UDOM ni namba moja wamesahau matamko yao ya kuingua mkono serikali ii ya ccm leo wanaandamana nini FFU fanyeni kazi yenu na mimi nitakua maeneo ayo ya bungeni nitashiriki kwenye kuwapiga
Udom tuliondoka na migomo sikuhizi wamebaki wadada tuuh!
Mmechoka kusoma nyie!