UDOM wanachelewa kutoa majibu ya diploma!

ommky

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
459
Reaction score
225
Wadogo zetu tokea tumewafanyia application za diploma tena kwa gharama kubwa ya 50000, tokea mwezi wa nane hadi sasa hawatoi majibu, huo ni uzembe mkubwa sana maana wanapaswa kutoa majibu mapema ili kama hawa wadogo zetu wakiwa wamekosa tuwafanyie alternatives.
 
[HASHTAG]#Tunachakata[/HASHTAG] maombi yenu
 
Msijali jamani hata mimi pia nipo huko nilifanya application mwezi wa 8 tare 10. Hivyo tusubirni tu tusikate tamaa, pia mwambie Kuna group la whatsaap ajiunge tupo ili kupeana update anicheki hapa 0718007723
 
Udom wanaboa sana mm nimeomba sua nimepata lkn pia udom nimeomba mpaka leo bado tuu Sua wanafungua tarehe 17 mungu saidia wachaguo kabla ya tareh 17 niende Udom.
 
sua wametoa second round degree?
 
Udom wanaboa sana mm nimeomba sua nimepata lkn pia udom nimeomba mpaka leo bado tuu Sua wanafungua tarehe 17 mungu saidia wachaguo kabla ya tareh 17 niende Udom.
acha ulofa wew nenda sua au unaogopa misuli heavy ya pale sua
 
Back
Top Bottom