inaniuma sana.,...nimehaso sana kutafuta kazi bahati nkapata hotel 1 ya kitalii dar....j2 nlimwomba boss wangu ni mhindi anruhusu niende dom nfuate cheti changu ili j3 jioni niwe nmerudi niingie kazini j3 kama kawaida tukaenda kwa basa tulikua kama 10 na wenzangu nliowakuta basa wakaingia wakanza kuhudumia watu kwa spidi ndogo bz kuna kadada kanajishaua kalikua kanaingia kila mara kupigisha hao mabasa wa kiume stori ila ni sifa kalikua kanataka ikafika sanne umeme ukakata basa wakasema hata ukirudi hawafanyi kazi hadi kesho sasa inakuaje chuo kina jenereta eti unambiwa haifanyi kazi ilipofika jioni nkamwambia bosi wangu nakuja kesho bz sijafanikiwa kupata cheti alinambia tu kazi hakuna tena jinga ww....hawa wahasibu walinshangaza umeme ulipokatika walifurah sana kuona watu wanawangoja hapo hvi na vyuo vingne ndio wana utendaji mbovu hvi au ni hiki chuo cha kIkwete