UDOM waachia majina ya undergraduate student batch 1

Ingieni rasifatanzania.blogspot.com ameweka katika mfumo wa kawaida Kwa kila college
 
Hongera Sana kwa waliochaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha Dodoma.
Its a beautiful place although challenges pia zipo kimtindo.
Kikubwa kukaza buti na kujitambua.
Kwa wale walochaguliwa Bsc chemistry karibuni Sana CNMS.
 
Back
Top Bottom