UDOM ndiyo chuo bora Tanzania

Source: Profesa Ibrahim haruna lipumba
 
HB wa Ilala leo umeshuka na post tofauti kabisa na nikujuavyo! ahahahahahaha maana nilitegemea nione post za kuhusu maumbile ya siri ya wanawake tehe tehe tehe
..Chikira napost Kila Kitu mimi mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nimeelewa lakini nikahisi kuwa hujamalizia kwenye sifa za ubora utokanao na quality ya elimu itolewayo hapo UDOM
..Elimu inayotolewa ni kama Ya chuo chochote hapa Tanzania
 
Hivi udom umeanza kwa kusema chuo bora mkuu naomba kukuuriza swari ni cha ngapi kwa ubora africa
Oooohh chuo cha ngapi kwa vigezo vipi, kwa sababu kila ranks za vyuo zinazotoka huwa kuna specific criteria zinazokuwa regarded...ila wa tz tuna shida sana yaani tuna shida sana mimi najua mind set za watu juu ya UDOM.hata mimi before niliaminishwa kiwa udom si chuo kizuri hakuna walimu na ni shida mwanzo mwisho hakuna maji lakini baada ya kwenda pale hakika nikajua ukweli kuwa ni chuo kizuri mno hasa mazingira ya kusomea kwa ujumla na makazi.niakagundua kuwa wale walioniaminisha vibaya hata dodoma hawapajui kabisa na chuo ndio kabisaaa.....utasikia nikiambiwa na flani sio chuo kizuri hata huyo aliemwambia nae kaambiwa na mwingine.... JAMANI MIMI NIMUHITIMU WA PALE UDOM KILA NILIPOKUWA NIKITEMBELEWA NA WENZANGU KUTOKA VYUO VINGINE WALIVUTIWA SANA NA CHUO JINSI KILIVYO NA PROGRAM ZINAVYOENDESHWA PALE NA WENGINE WALIJUTIA KUTO CHAGULIWA UDOM wakiwemo hata waliokiuwa wakisoma UDSM walipokuwa wakipitia pale kutusalimia hasa kwa wale wa mwanza,kagera na mikoa ya singida na shinyanga.....ila niwaombe mjue kuwa kuna kama kautani ka jadi hivi kati UDOM na UDSM... Nje ya hapo ni vigumu kuona mtu wa chuo kingine kukiongelea vibaya UDOM..
 
..Bora Hata Umesema Mkuu
 
Ubora wa chuo cha Dodoma unakwamishwa na udini katika Taifa letu,Kiukweli Udom ni chuo bora lakini si kwa kulinganishwa na vyuo vikongwe nchini,Vipo vyuo ambavyo ukitajiwa lazima uogope tangu hapo nyuma na mpaka leo hii kama vile Mzumbe na SUA ila hivyo vingine tukiacha unafiki vinabebwa na Ukongwe lakini sio ubora wa Taaluma,Mfano mtafute mwanaIT wa Udom umuweke na wa Udsm huyu wa Udsm lazima atafute njia kwa kuwa Udom kitivo cha IT kiko poa sana na ndio maana nguvu nyingi sana inatumika kukishusha hiki chuo na imefikia wakati leo hii karibu kabisa na Udom kuna majengo yanaendelea kujengwa kama chuo ili tu kukififisha chuo hiki cha Udom(karibu na CCM convection kuna majengo yanajengwa ni chuo chini ya Ukristo).
Lakini pia Chuo kikuu cha Dodoma huenda kikawa ni Chuo pekee kilichonyimwa fursa ya kuwa na international university partners,chuo hiki hakina hata partner mmoja zaidi ya Microsoft kudhamini kitengo cha IT na ndio jamaa wako fiti mno.
Mimi nafikiri serikali ikiamia dodoma vyuo vikongwe vitatafuta pa kujificha maana maprof.watahitaji kukaa na serikali yao kwa ulinzi na usalama wao.
Ni maono yangu kama MchivuWaFikra.
 
..Asante Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…