kwa kila mwaka kumekuwa na ucheleweshwaji Wa makusudi Wa transcript na academic certificates suala linalopelekea vijana wengi waliomalizia chuoni hapo kushindwa kujitosa mapema kwenye pambano LA kusaka Fursa/ajira , kwa kuwa wanakuwa hawana vyeti mahususi vinavyotambulisha fani walizosoma.
ukiangalia vyuo vilivyo vingi huanza kutoa vyeti Mara tu baada ya mahafali, lakini udom huanza kutoa vyeti hivyo mwezi January, au February, na hata machi au April ya mwaka mwingine.
hali kama hii ni uzembe na inapaswa kukemewa na kushughulikiwa na mamlaka husika za chuo ili vyeti vitolewe mapema na kuwapa wahitimu Fursa ya kuvitumia katika masuala mbalimbali