UDOM mbona kimyaaaa?

nkwezi

Member
May 8, 2007
57
19
Nina mdogo wangu alifanya usaili mwezi wa kumi na mbili, vipi kuna mwenye tetesi zozote za kuita watu kazini.
 
Huyo mdogo wako ni dini gani, maana kama sio ile dini hataajiliwa kamwe.
 
Pale bila kushikwa mkono au kuwa ni muumin wa ile dini yetu kuingia ni issue.
 
Hayo tuwaachie wenyewe,tujaribu kujibu kinachoulizwa.hayo mambo wengine hatutaki kuyasikia, kajadilini kwenye jukwaa la dini.
 
Ndg. ukimya upi unao usema!? masoma na tafiti haziendelei au? Mbona mambo yanasonga au upo nje ya nchi wataka tukufahamishe nini kinachoendelea? Njoo kesho (28.01.2012) pale CHIMWAGA kuna kikao cha UDOMASA; utajua UDOM ipo kimyaaau mambo yanaendelea. Lakini kama ulipita kipindi hiki jua kwamba wanafunzi wanajiandaa na UE itakayoanza tarehe 06.02.2012.
 
Ndg. ukimya upi unao usema!? masoma na tafiti haziendelei au? Mbona mambo yanasonga au upo nje ya nchi wataka tukufahamishe nini kinachoendelea? Njoo kesho (28.01.2012) pale CHIMWAGA kuna kikao cha UDOMASA; utajua UDOM ipo kimyaaau mambo yanaendelea. Lakini kama ulipita kipindi hiki jua kwamba wanafunzi wanajiandaa na UE itakayoanza tarehe 06.02.2012.
sasa udom aje kufanya nn? kama unaweza kujibu hoja aliyoitoa fanya hivyo, chuo chenu kimefanywa kama shule za kiislamu bwana!
 
sasa udom aje kufanya nn? kama unaweza kujibu hoja aliyoitoa fanya hivyo, chuo chenu kimefanywa kama shule za kiislamu bwana!

cheki red..., kwani hizo shule zimefanya nn..? na iweje ziingizwe ktk mjadala huu..? jibu hoja na sio kukashifu taasisi za dini nyingine..,kuwa mstaarabu ndugu....!
 
Ndg. ukimya upi unao usema!? masoma na tafiti haziendelei au? Mbona mambo yanasonga au upo nje ya nchi wataka tukufahamishe nini kinachoendelea? Njoo kesho (28.01.2012) pale CHIMWAGA kuna kikao cha UDOMASA; utajua UDOM ipo kimyaaau mambo yanaendelea. Lakini kama ulipita kipindi hiki jua. kwamba wanafunzi wanajiandaa na UE itakayoanza tarehe 06.02.2012.
Unaota? Soma juu mtoa mada anaulizia nini?
 
du hali ni mbaya au serikal imepigika cjui manaake tangu mwezi wa kumi na mbil kwa nn hawatoi ajira!
 
Nafikiri ishu ya udini tuiweke pembeni, cha msingi tupate majibu ni lini hizo ajira zinatoka, nilipata fununu mwezi ujao wa pili wataajiri.
 
jamani me nashauri mtu anapouliza swali ama kitu chochote kukiongelea basi asiingizie dini ndani yake! kwasababu kila mtu humu ndani anaitikadi yake na anaipenda dini yake! kwann tusiwe tunaenda moja kwa moja kwenye jibu la swali mtu alilouliza? je huku ni kuelimika?maana swali linakuwa tofauti na jibu yaani inafkia stage watu wanaigia kwenye maswala ya udini na kusemana na mwisho wa yote itaenda kwenye kukashfiana sasa! dini sio mahala pake hapa! jf imeipa kila kitu na sehemu yake mf.siasa,mapenz n.k sina uhakika zaidi lkn na category ya dini cdhan km inakosa! kwann tusiongelee huko? am sory km kutakuwa kuna mtu nimemkwaza
 
Jamani wadau watu tuna uchungu na maisha sasa mtu anavyouliza kwa anayeweza kuelewa anajibu na kama hujaelewa si lazima ujibu unaweza pita. Mimi jana sa 12 asubuhi kuna rafiki yangu tulifanya wote ile paper ya Planning Officer akaniambia ameitwa oral ila sijaweza kumuuliza yaliyojiri nimuulize walikua wangapi. so wanaita kimagroup kulingana na zile kazi zilivyokua na wale nurse walishaitwa pia.
 
Back
Top Bottom