Wadau kwa kulalamika?? Vp mambo ya academic yapo OK?? Au unawaza misosi tu.
Toa uwongo wako chakula kipo cha
Kutosha acha kulalamika afu usiwe unawaza chakula waza masomo mnajishusha hadhi sana wanaudom ndo mana mtaani watu wanaogopa kuwaajiri coz mawazo yenu ni kama haya yako
Jamaniiii hadi hili suala unaleta Jf????? khaaaaaa wanafunzi wa UDOM embu punguzeni kulalamika Sijawahi ona mwanafunz wa UDSM,SUA,MUM,MZUMBE etc wanaleta uzi wa kijinga humu Ntaanza kuyaamin maneno ya KIKOOZI juu ya UDOM.
Udom kuna tatizo.
mtoa mada kashakwambia hapo hili mambo yaende sawa kwa ufasaha ni lazima kwanza upate huduma ya chakula ya kuridhisha.. tuliopo huku ndio tunajua hili tatizo jinsi gani linavyo tuathiri hata kitaaluma... sasa wewe mtu anatoa duku duku lake unaanza kumuuliza mambo ya class kama vile hajui wajibu wake acha ubwege wewe kama huna cha kusaidia kaushaa
Labda baadh ya college... mbn mm nasoma UDOM hapa hapa na nina survive????
Km huwez kuchangia maada unakaa kimya acheni siasa zenu za maji taka maana kila kitu mnaleta utani daaah watz tuwe na busara
uko college gani kwanza? sababu haya matatizo madogo madogo yasiyokuwa ya ulazima hata serikali ya wanafunzi ikiwa mbovu haina sauti nayo pia inachangia yaendelee kuwepo!! yaah ni kweli matatizo yanatofautiana college na college... kwa udom pale matatizo kma haya ya chakula huwezi ukayaskia kwa mtu anaesoma COED, utayaskia kwa mtu wa info na humanities kule ambako hata wamiliki wa cafteria wanaogopwa na viongozi wa UDOSSO!!
Tatzo mnalalamika sana....acheni chuo bhas
sijui nikupe tusii gani linalo kustahili baradhuli mkubwa wewe!!
kwa hiyo hapo ndio umefikiri mpaka mwisho wa uwezo wako ukaona ilo ndio jibu la kutoa kwenye maelezo niliyokupa baada ya wewe kuonyesha pengine haya matatizo hayapo kwenye college uliyopo wewe!!?
acha ujinga
Hii cyo sehemu stahiki ya ww kupata ufumbuz wa matatizo yako.....tumia akili ya kisomi...tangu upost ni msaada gan umeupata zaidi ya kubishana kama hv??? tumia akili kufikiri cyo kinyesi.....PUMBAAAAVVVV
wewe jamaa ni maku dunia mtoto wa msimbe wewe!! kumbe ndio ilikuwa lengo kunifikisha huku!? kwa akili yako dhoofu kma kondoo! kwa hiyo unaona hapa ni kosa kuja na mada kma hii!? kwani hao viongozi wako wa Udosso hawamo humu maku wewe!!? kifupi tu wewe ni mpumbavuu na hata malezi uliyopewa ni ya kijinga umezoea kuficha ficha makosa na kuyavumilia!! sipotezi muda wangu tena kubishana na mburura wewe usiekuwa na akili ya kuona walau wapi mbele wapi nyuma... chuo chako unachokitetea kina maudhi mengi mno!!
Asante brother....
Serikali sikivu ya CCM imekupa 8500 kwa Siku,kama unataka kusoma vizuri kula hata 3000 usiku ili uweze kukaa mezani muda mrefu,ukiwa mwanachuo jiongze kaka,unavyolalamika kwa swala la kipumbavu kama hili watu wanakudharau,uongozi wa udoso ni mmbovu compare na Daruso,viongozi wenu wamekaa kimaslahi tupu pale chuoni hamana wanalofanya,kwa hyo mkuu jiongeze mwenyewe kwa mambo mengine.