Lameck Dunia
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 291
- 45
jamani wasomi naombeni tusaidieni kitu kimoja kila mmoja anajua kuwa ili uende kusoma vema drsn yakubidi uwe na afya njema yaani umeshiba lakini chakushangaza UDOM wawekezaji wanataka watajirikie kwetu mtu unaa agiza wali nyama 1500/= unawekewa kidogo sana hadi inatia hasira ukimwambia niongeze anakujibu vibaya na udom chakula kinapatikana chuo tu usiku huwezi enda ujasi pia foleni kwenye chakula ni shida lakini viongoz wetu kimyaaaaaaaaa km na wao wana ubia na wenye cafe sasa sijui itakuaje kwa ss tulotoka boyz maana hatushibi boom lenyewe kuutuingizia mpaka wajiskie mpaka leo watu kibao hatujapewa MH RAIS JPM SHITUKIZA UDOM BASI TUPEWE BOOM AISEE SIO WOTE WATOTO WA KISHUA JAMANI DA PREZIDAA WA CHSS UPO NAJUA UTAPATA UJUMBE