Ivi punde mepokea taarifa kwa wadau kuwa wamesha riliz matokeo, lakin cha ajabu matokeo ya 2nd semester yamekuja na koz tano badala ya nane na GPA wamesha weka, sasa nafanyaje wadau, miwananichanganya nyama hawaaa