K kelvin_sigwa_1 Member Joined Dec 6, 2016 Posts 41 Reaction score 24 Dec 7, 2016 #1 Nilisoma UDOM katika college ya Natural and Math science, Bsc Physics. Baada ya kuona haina tija katika maish yangu nikaacha. Nilichogundua nikwamba Chuo cha UDOM kipo kwa ajili ya urasimu na sio academics, ndio maana hakitoi wasomi bora.
Nilisoma UDOM katika college ya Natural and Math science, Bsc Physics. Baada ya kuona haina tija katika maish yangu nikaacha. Nilichogundua nikwamba Chuo cha UDOM kipo kwa ajili ya urasimu na sio academics, ndio maana hakitoi wasomi bora.
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 50,214 Reaction score 96,337 Dec 7, 2016 #2 kelvin_sigwa_1 said: Nilisoma UDOM katika college ya Natural and Math science, Bsc Physics. Baada ya kuona haina tija katika maish yangu nikaacha. Nilichogundua nikwamba Chuo cha UDOM kipo kwa ajili ya urasimu na sio academics, ndio maana hakitoi wasomi bora. Click to expand... Chuo cha kata! Kama secondary
kelvin_sigwa_1 said: Nilisoma UDOM katika college ya Natural and Math science, Bsc Physics. Baada ya kuona haina tija katika maish yangu nikaacha. Nilichogundua nikwamba Chuo cha UDOM kipo kwa ajili ya urasimu na sio academics, ndio maana hakitoi wasomi bora. Click to expand... Chuo cha kata! Kama secondary
D DREAMBOY JF-Expert Member Joined Nov 17, 2013 Posts 2,117 Reaction score 1,372 Dec 7, 2016 #3 Si useme tu ulidisco.
SON2016 Member Joined Jan 3, 2016 Posts 64 Reaction score 37 Dec 7, 2016 #4 kelvin_sigwa_1 said: Nilisoma UDOM katika college ya Natural and Math science, Bsc Physics. Baada ya kuona haina tija katika maish yangu nikaacha. Nilichogundua nikwamba Chuo cha UDOM kipo kwa ajili ya urasimu na sio academics, ndio maana hakitoi wasomi bora. Click to expand... Urasimu kivipi??
kelvin_sigwa_1 said: Nilisoma UDOM katika college ya Natural and Math science, Bsc Physics. Baada ya kuona haina tija katika maish yangu nikaacha. Nilichogundua nikwamba Chuo cha UDOM kipo kwa ajili ya urasimu na sio academics, ndio maana hakitoi wasomi bora. Click to expand... Urasimu kivipi??
Blank page JF-Expert Member Joined May 28, 2015 Posts 6,084 Reaction score 6,087 Dec 8, 2016 #5 elezea vzur mkuu,sasa iyo dgree ako ulosoma inahusisha vp urasimu?
kopites JF-Expert Member Joined Jan 28, 2015 Posts 9,706 Reaction score 12,105 Dec 8, 2016 #6 Huyu ni kilaza alidisco akafukuzwa
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,643 Reaction score 44,371 Dec 8, 2016 #7 Watu wana degree ya mbogamboga kutoka SUA na hawalalamiki
M Mtarban JF-Expert Member Joined Jan 14, 2015 Posts 3,936 Reaction score 5,209 Dec 9, 2016 #8 disco hoyo. eti nilisoma nikaacha! hahahaaaaha
C chedii New Member Joined Nov 27, 2016 Posts 4 Reaction score 0 Dec 10, 2016 #10 College ya natural science disco nyingi kwahyo kijana itakua nawe ni mhanga wa hli wazee wa statistics wahindi hamuwaelew polen
College ya natural science disco nyingi kwahyo kijana itakua nawe ni mhanga wa hli wazee wa statistics wahindi hamuwaelew polen
KAFA.cOm JF-Expert Member Joined Jun 22, 2013 Posts 1,301 Reaction score 741 Dec 10, 2016 #11 Na sasa hivi wameletewa walimu wa urusi ndo hawaelewi kitu kabisa
Chichmoore Member Joined Jan 30, 2013 Posts 85 Reaction score 26 Dec 10, 2016 #12 Alidisco sio? hhh hhh. chuo siyo msenge na hiyo Bach ulikuwa unafanya mgh. sishangai.
ndechaki Member Joined Oct 27, 2015 Posts 5 Reaction score 1 Dec 10, 2016 #13 Retired said: Chuo cha kata! Kama secondary Click to expand... na nafuu hujui ukweli, ulisikia tu
ndechaki Member Joined Oct 27, 2015 Posts 5 Reaction score 1 Dec 10, 2016 #14 akili za viazi huwa hazibadiliki, step up brother, tafuta kitu kingine andika kwanza kwenye karatasi, hakikisha ni cha maana halafu post humu
akili za viazi huwa hazibadiliki, step up brother, tafuta kitu kingine andika kwanza kwenye karatasi, hakikisha ni cha maana halafu post humu
Hu Jintao JF-Expert Member Joined Feb 27, 2015 Posts 1,916 Reaction score 3,654 Dec 10, 2016 #15 ndechaki said: akili za viazi huwa hazibadiliki, step up brother, tafuta kitu kingine andika kwanza kwenye karatasi, hakikisha ni cha maana halafu post humu Click to expand... True boy,,, hii ni forum ya watu waliotahiriwa brain,,,,
ndechaki said: akili za viazi huwa hazibadiliki, step up brother, tafuta kitu kingine andika kwanza kwenye karatasi, hakikisha ni cha maana halafu post humu Click to expand... True boy,,, hii ni forum ya watu waliotahiriwa brain,,,,