Udom inanusurika kuungua

Ulamaa Hemed

Senior Member
Sep 21, 2012
159
16
Chuo kikuu cha dodoma kinanusurika kuungua baada ya nguzo ya umeme kuanguka ktk school ya humanities na kuwaka moto, hali hiyo imesababisha baadhi ya wanafunzi kuumia na wengine kuzimia hali hiyo imetokea saa sita na nusu usiku
 
ccm wapo kwenye mchakato msiogope.
 
Ungesema nguzo ya umeme yaungua saa nane usiku udom na sio udom yanusurika kuungua umelikuza sana tukio
 
Ndio wasomi wetu hawa!! Je hali ikibadilika halafu kikaungua? Heading itakuwa Udom hakijanusurika kuungua??? Hivi tatizo la mitaala lipo hadi university?
 
Hata kuripoti tukio nayo shughuri jamani? kwanini usiitaje nguzo tu kuwaka moto ama ndo kutia kapilipili njomba?
 
wakati na post hii status bado tukio lilikuwa linaendelea

''ninavunja glass''
Huwa hakuna kuendelea kwa matukio kama kunusurika. Kama jengo halikuungua moto mara baada ya kuanguka kwa nguzo, hiyo inamaanisha kua jengo limekwisha nusurika.
 
Back
Top Bottom