UDOM - College of Earth Science

Mbaruk, udsm wanasoma geology miaka 4, udom miaka 3 tofauti ipoje? Am afraid udsm watatushinda kwenye soko la ajira sana

Udom ni applied geology na udsm ni pure geology, huoni tofauti?
 
Last edited by a moderator:
Applied geology vs bsc geology, nategemea udsm wangesoma miaka 3 na udom miaka 4, tofauti ni nini mkuu, naomba ufafanuzi, course contents za udsm naona ziko intensive sana kwa hio miaka 4, nimechaguliwa udom but am just curious
 
Naomba unifahamishe geoinfomatics wanashugulika na kitu gani zaidi yani wanajifunza nini?na mustakabali wake kwenye soko la ajira ukoje?
Naomba unipe uelewe ili nipate picha yake kwa sehemu
 
Anayetaka kujua kuhusu geoinformatics anitafute 0654504549 naitwa Rohosaba nipo bsc in geoinformatics coes udom,,,,
 
Huwezi kuwa hunifahamu,,,hahahahaha huku we dont reveal our identities,,,,,,,unamjua Naima,,,Madevu,,,Mishra,,,,Mahuve ,,,Ally,,,is that enough????
 
Huwezi kuwa hunifahamu,,,hahahahaha huku we dont reveal our identities,,,,,,,unamjua Naima,,,Madevu,,,Mishra,,,,Mahuve ,,,Ally,,,is that enough????

Now nshakupata kijana
 
Karibuni COES bsc in geoinformatics home of geospartial technologist,
 
Lets come kwenye reality, am talking about tz myfriend, let"s be realistic kidogo, sizani kwa hili nahitaji nigoogle, kama unafahamu tujuze, hapa kuna wengi wanataka kujua kijana
 
Applied geology vs bsc geology, nategemea udsm wangesoma miaka 3 na udom miaka 4, tofauti ni nini mkuu, naomba ufafanuzi, course contents za udsm naona ziko intensive sana kwa hio miaka 4, nimechaguliwa udom but am just curious

Now use that curiosity of yours kutafuta mtaala wa udom na udsm kisha fanya ulinganifu sidhani kama utaona tofauti.
 
Je unaweza kunisaidia fomu za application kwa mwaka 2015/16? Nimesikia wameongeza muda wa ku apply.
 
kwa wale waliochaguliwa udom hasa college of earth science mnaweza kuniuliza jambo lolote!nipo kuwasaidia!
nipo 2nd yr petroleum engineering

Je bado wanazo nafasi kwa mwaka 2015/2016, na kama zipo ni zipi?
 
Geo infor matics ,,,,,,huyo ni gis analyst ,,,,vile vile ni land surveyor second grade,,,xo kazi ni nyingi sana na ajira zake zipo kuanzia tanesco,,,mpaka migodini usiwe mvivu google gis career in tanzania mengineyo nichek 0654504549 siwezi elezea kila kitu hapa geoinformatics ni pana xana,,,
 
vp kakaa mm nimechagulia hapo geoinformatcs lakn sikuipenda sana na nemesoma EGM nina 3.15 je nina weza kuhama hi program nilyo chaguliwa na kuhamia program kama petroleum,aplled geology au ming ?msaada kwako naomba kaka

kuhama usiiweke maanani sana as ni very rare scenario. geoinformatics ni nzuri sana hasa kwamba wataalam wake bado ni wachache na ajira ziko maeneo mengi. karib sana coes , utanikuta pale niko 3rd year mineral processing eng.
 

Kwa nn mkuu ukasema udom hujui kama inatolewa inavyotakiwa mana mm pia nmechaguliwa huyo geoinformatics udom.
 
Kwa nn mkuu ukasema udom hujui kama inatolewa inavyotakiwa mana mm pia nmechaguliwa huyo geoinformatics udom.

hii kozi iko vizuri namalecturer wapo wala msiogope. mtaisoma for three years . mtakutana na wenzenu mwaka wa pili, ni kati ya kozi zenye wigo mpana wa ajira nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…