Elninho Elninho
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 537
- 401
Mkuu naomba kuuliza maswali yafuatao
1.Je kuna optical microscope ngapi?
2.Je kuna microscope za polished sections? na kama zipo ni ngapi?
3.Je collections za miamba kwa ajili ya kufundishia iko ya aina ngapi na kutoka wapi? Tafadhali naomba unipatie na miaka yake
4. Vipi kuhusu ore deposit models zinazundishwa mwaka wangapi na je wanaofundisha wamegundua migodi mingapia au deposits ngapi?
Kwa leo hayo tu ukinijibu nitakuuliza mengine yatokanayo na majibu yako!
kwa wale waliochaguliwa udom hasa college of earth science mnaweza kuniuliza jambo lolote!nipo kuwasaidia!
nipo 2nd yr petroleum engineering
Process za registration uchukua kama cku ngapi,,na bla kua registerd c uruhucw kuingia chuo,,means kitu cha gest kinahuckahata kama utapata mkopo kwa bodi!unatakiwa uje na pesa ya kujikimu kwa kipindi chote cha registration!pesa ya bodi inachelewa huwa inachukuwa week 2 au 3!pia ka hujapewa mkopo 100% kumbuka kuja na ada angalau ya 1st semester uweze kufanyiwa registration!la sivyo hutasajiliwa!
vp kakaa mm nimechagulia hapo geoinformatcs lakn sikuipenda sana na nemesoma EGM nina 3.15 je nina weza kuhama hi program nilyo chaguliwa na kuhamia program kama petroleum,aplled geology au ming ?msaada kwako naomba kaka
kwa wale waliochaguliwa udom hasa college of earth science mnaweza kuniuliza jambo lolote!nipo kuwasaidia!
nipo 2nd yr petroleum engineering
dah kwa hilo kidogo itakuwa vigumu labda ajaribu kuhangaika kwe makampuni binafsi!ishatokea mwaka wetu c c 2012 chuo kiliwaombeya wanafunzi kumi wizara ya nishati na madini wanaosoma petroleum engineering walipata.wanalipiwa kila kitu!cdhani kwa mwaka huu ka watatoa hio nafasi tena kwa geoinformatics cjui!ila ajarib kuzunguka mashirika mbalimbaliMbaruck, hivi kuna external financial support yoyote(scholarship) kwa wanachuo wa earth science waliokosa mkopo?? Kuna mdogo wangu kakosa mkopo kwa kozi ya geoinformatics,kisa kamaliza form 6 mwaka 2008!! Nipe details km kuna ki2 kama hicho pls.
ktk kozi ambayo college ofearth science imejipanga ni hio coz ina wali wa kutosha hasa wahindi,mazingira ya kusomea yapo fresh coz chuo kina quarry ya kufanya observation ya mawe na madini,pia kuna geological survey of tanzania(GST) ampayo wa'funzi wanaenda kufanya practicals!filed pia haisumbui coz wanakwenda mbeya-chimara ambapo wanaaungana na wanafunzi wa udsm!
Mekuu naweza kujiunga na diploma hapo coz na certficate ya mineral exploration
unaweza vizuri tu,unataka kusoma diploma gani na umemalizia chuo gani?
Mwaka 2011 nimekutana nao mbeya chimala,vifaa vya kijiolojia hamna vya kutosha,acha kufagilia ujinga