tisa desemba
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 434
- 115
- Thread starter
-
- #21
Mijitu mingine kwa uongo, maji yapo full kasoro siku mbili tatu wakati bomba lililopasuka likofanyiwa marekebisho. Vipi unalalamika maji sasa hivi na miaka ya kuanzia 2010/2011 ungesemaje?
sasa wewe badala uende ukaripoti sehemu husika unakuja kulialia huku ili sisi tukusaidie nini think big guy
Hebu wakati mwngne uwe unajarb kutumia akili,japo hyo kidogo uliyonayo. Hao wakuu wa udom wanaopitia humu unaotaka watatue tatzo lako kwani wapo chuo gan wao? si ni udom hapohapo? kwan hawajaona hlo tatzo? je,kama wameshndwa kulisolve unafkr ukilalamika humu ndo watalisolve?
wewe c ajabu hata mambo ya familia yenu unaweza kuyaleta humu jf.Next time uwe unafkiria kwanza kabla hujaandika kitu!!
Mkuu, Matatizo mengine hayasabishwi na wakuu wa chuo! Yawezekana ni uzembe tu wa ma warden au mafundi kutoa taarifa kwa mamlaka zinazohusika! Naimani wakuu wa chuo watapitia hapa au wataambiwa na kulifuatilia suala hili! AMKA!
Kijana "don't do things by assumptions" kwanza we unaishi block gan hlo liclo na maji?
Mkuu, jf ina members tofauti tofauti wenye nafasi mbalimbali katika vyombo mbalimbali vya umma na binafsi! Hatuwezi woote kwenda kwenye ofisi hizi kulalamikia kero zetu! Ndio maana zikawepo radio, tv, magazeti, internet forums nk nk! Hivi vyote vinaisaidia sana serikali na vyombo vingine kupata mrejesho wa kero/pongezi kutoka kwa wananchi! THINK!
we ni mmojawapo wa wakuu udom?pambafHebu wakati mwngne uwe unajarb kutumia akili,japo hyo kidogo uliyonayo. Hao wakuu wa udom wanaopitia humu unaotaka watatue tatzo lako kwani wapo chuo gan wao? si ni udom hapohapo? kwan hawajaona hlo tatzo? je,kama wameshndwa kulisolve unafkr ukilalamika humu ndo watalisolve?
wewe c ajabu hata mambo ya familia yenu unaweza kuyaleta humu jf.Next time uwe unafkiria kwanza kabla hujaandika kitu!!