tisa desemba
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 434
- 115
Hilo tatizo la maji lipo tangu chuo kinaanza na hasa huko Ng'ong'ona ndo limezidi na ni ngumu kuisha ukiangalia lication ya chuo na huo mkoa maji ni shida hata town kwenyewe.
mnafiki mwenyewe kama ID yako!hilo tank liko chumbani kwako?rudia kusoma huu uzi labda utaelewaAcha unafiki umekosa habar mbona mi niko kwenye tank nachota maji mengi tu
mnafiki mwenyewe kama ID yako!hilo tank liko chumbani kwako?rudia kusoma huu uzi labda utaelewa
Acha unafiki umekosa habar mbona mi niko kwenye tank nachota maji mengi tu
Acha unafiki umekosa habar mbona mi niko kwenye tank nachota maji mengi tu
Hoja yako inaweza kuwa na mashiko kama hakuna dhamira thabiti ya kuleta maji Coed na ni kwa ajili ya kujijitea tu! Ila kwa wa watu wenye nia na dhamira kubwa ya kuleta maji coed! Maji yanaweza kufika tena kwa wingi na wakati wote! Nikukumbushe pia kwa dodoma manispaa maji si tatizo saaana kama ulivyosimuliwa enzi hizo!
Natumaini Mlacha analitambua tatizo maana si tatizo la jana wala leo ndugu!
Wanalijua sana ila hapo kelele utapiga mwisho wasiku utavaa joho na utarudi kufundisha hapohapo ila hakuna hatua yoyote inayochukuliwa.
Kwa nini msiandamane kibavicha fimbo ya mbali haiui tisa disemba mayuni mpo
Kwa nini msiandamane kibavicha fimbo ya mbali haiui tisa disemba mayuni mpo
sasa wewe badala uende ukaripoti sehemu husika unakuja kulialia huku ili sisi tukusaidie nini think big guyWakuu suala la ukosefu wa maji hapa udom college of education limezidi kushika kasi hasa kwa wiki hii, maji yamekuwa yakitoka kwa nadra sana tena katika block chache sana (si zaidi ya 4 kati ya 20 zilizopo) nyakati za asubuhi na jioni wanachuo wengi wamekuwa wakizunguka huku na huku kutafuta maji bila mafanikio! Vyooni hali si nzuri! Nyuma ya block R, M, J na D nimeshudia vinyesi vya binadamu vikiwa vichakani! Tunakolekea si kuzuri! Serikali ya wanafunzi wako kimya! Naomba wakuu wa Udom mnaopitia hapa msaidie kutatua tatizo hili kwani ikiendelea hivi wikiendi hali itakuwa mbaya zaidi! Naomba kutoa hoja!
Wakuu suala la ukosefu wa maji hapa udom college of education limezidi kushika kasi hasa kwa wiki hii, maji yamekuwa yakitoka kwa nadra sana tena katika block chache sana (si zaidi ya 4 kati ya 20 zilizopo) nyakati za asubuhi na jioni wanachuo wengi wamekuwa wakizunguka huku na huku kutafuta maji bila mafanikio! Vyooni hali si nzuri! Nyuma ya block R, M, J na D nimeshudia vinyesi vya binadamu vikiwa vichakani! Tunakolekea si kuzuri! Serikali ya wanafunzi wako kimya! Naomba wakuu wa Udom mnaopitia hapa msaidie kutatua tatizo hili kwani ikiendelea hivi wikiendi hali itakuwa mbaya zaidi! Naomba kutoa hoja!